Mr Beach Boy
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 1,702
- 5,115
Mchumba huyu nimedumu nae miaka miwili Sasa, ila dharau na jeuri ndio Tabia yake sugu.
Sasa imetosha.
Sasa imetosha.
Sinaga Tabia ya kurudia matapishiMtarudiana tu
Na wewe umekuwa mwamposa🤣Hiyo convo inaonyesha nani mwenye maumivu makali moyoni, just by reading unaona kabisa.
Sawa ntaleta taarifa ila sirudii nyuma aiseeUmekubali kuachana wakati kiroho kinakuuma 😀 😀 😀 hapo hupindui. ukimrudia usione haya kuleta taarifa humu
Usiombe yakukuteHivi JF ndio kuja kumaliza machungu yenu
Sawa sirudii nyuma mkuu,Baada ya week 2 ukishamrudia tuletee thread pia mkuu
Mkuu kama hautojali naomba namba ya huyo binti unitumie PmMchumba huyu nimedumu nae miaka miwili Sasa, ila dharau na jeuri ndio Tabia yake sugu.
Sasa imetosha.View attachment 3277170
NAUNGA MKONO HOJAUmekubali kuachana wakati kiroho kinakuuma hapo hupindui. ukimrudia usione haya kuleta taarifa humu
Tayar angaliaMkuu kama hautojali naomba namba ya huyo binti unitumie Pm
Sina kituUna PESA?
Tuanzie hapo kwanza