(Picha)Harusi ya Dr. W. Slaa (21.7.2012)

Mkuu Yericko Nyerere ina maana padre Dr. Slaa aliasi na tayari alishavuliwa upadre na akaitema ile sakrament aliyoimeza.
 
Last edited by a moderator:
Matthew 19:4-6
"Haven't you read," he replied, "that at the beginning the Creator 'made them male and female,'**and said, 'For this reason a man will leave his father and mother and be united to his wife, and the two will become one flesh' ?**So they are no longer two, but one. Therefore what God has joined together, let man not separate."


SASA MUSHUMBUSI NI NANI ALIYEPEWA MAMLAKA YA KUIVUNJA NDOA YAKE YA KWANZA?
 

Mkuu mimi ninatoa maelezo yenye misingi ya roma hivyo natambua kuwa kuna ndoa batili lakini hii inayofungwa kesho haitakuwa batili bali ni huru na inabaraka zoooooote karibu tu mkuu!
 
KWANI NILINI DR. KAFUNGA NDOA, uskariri Biblia. Ndoa na iheshimiwe na watu wote na atakacho kiunganisha Mungu na mwanadamu asikitenganishe.


Sasa ndugu katika Bwana ya Mushumbusi ni nani aliyepewa mamlaka ya kuitenganisha? Na kwann ilitenganishwa wakati baba aliyembinguni ndiye aliyeionganisha? Ebu tujikumbushe maandiko haya

Matthew 19:4-6
"Haven't you read," he replied, "that at the beginning the Creator 'made them male and female,'**and said, 'For this reason a man will leave his father and mother and be united to his wife, and the two will become one flesh' ?**So they are no longer two, but one. Therefore what God has joined together, let man not separate."
 
Kuna ndoa zinaitwa batili. Unazijua?

Mkuu @Yericko Nyerere

1. Biblia Inasema kwamba Alichokiunganisa Mungu Binadamu Hawezi Kukitenganisha (Na Kanisa Katoliki Linakubaliana kabisa na Maagizo ya Mungu).

2. Kanisa Katoliki Halivunji Ndoa Halali Bali Linaweza Kutamka kwamba Ndoa iliyofungwa Haikuwa Halali na Kwamba Haikuwahi Kufungwa ( The Marriage is Void Abi Initio)

Kuna Sababu Kadhaa kunakoweza Kuifanya "Ndoa" Iliyokwisha Fungwa Kanisani Kutokuwa Halali na Hivyo Wanandoa kuwa huru Kuoa/Kuolewa

Mfano.

1.Una Tatizo la Kusimamisha Uume na Hukuwahi kuwambia Mwenzi wako na Matokeo yake Mmetoka Kanisani Mnafika Unashindwa Kufanya Mambo. Hiyo Ndoa Haikuwahi Kufungwa ( Kumbuka Ndoa Hufungwa na Mungu ambaye Hadanganyiki).

2. Umeshawahi Kupata Maradhi (Mfano kutoa Mimba n.k) Hali iliypelekea Kutolewa Kizazi. Kama hukumwambia Mwenzi wako toka awali na yeye akaingia katika Mkataba wa Ndoa basi Ndoa hiyo HAIKUWA KUFUNGWA ( The Marriage has never existed) Na Kanisa Likigundua lintangaza kwamba ndoa hiyo ni Batili kwa Maana Mungu asiyedanganywa Haukuibariki

Katika Mazingira kama Hayo Kanisa Linaweza kutamka kwamba " Ndoa Fulani iliyofungwa tarehe fulani baina ya Mr X na Ms X ni Batili na haikuwahi Kufungwa"
 
Mwingulu karibu kwenye sherehe!
Angalizo njoo na mke wako!
Sidhani kama Mwigulu ataweza kwenda kumshuhudia mzee mzima akipoka mke wa watu na kutelelekeza mke na watoto wake wakihangaika mitaani.
 
Nakutakia maisha yenye raha na fanaka katika ndoa yako Takatifu utakayoifunga kesho Mr. President Dr. Wilbrod Slaa.
 

Dr Dr Dr...ndio tatizo la kuabudu watu,nani kwambia kila anayepinga kuhusu Chadema na Slaa ni CCM,habari za Malecela na Ana Kilango mi za nini.
Ni aibu kwa kuwa alifunga ndoa kanisani na mke bado yu hai anaoaje tena...Msiwe Misukule ya watu na vyama mpaka kushindwa kuita kosa kosa,hicho ndicho wanachofanya CCM,vinginevyo ni yale yale tu.
 

nimekupata ndg yangu lakini unaegemea upande mmoja soma Matayo 5:32 kumbuka Josephine anatalaka na Dr. Hakuwa na ndoa ya kanisani
 

Mkuu kwa maelezo hayo bado unaungana na mimi katika kuukubali ukweli kuwa Ndoa ya Daktari Slaa itakuwa HALALI bila MAWAA!

Ninavyoamini ktk mila na destuli zetu, ndoa yoyote iliyofungwa kanisani kabla haijavunjika ni dhahiri hupitia ngazi nyingi ikianza kwa wazazi wa pande zote, washenga, wazee wa hekima, serikali na kanisani! Ndipo ikiwa ngazi zote hizo zitaletewa kesi hiyo zaidi ya mara tano, pendekezo huachiwa wahusika waamue na baada ya wao kuamua kuachana, kauli ya mwisho na kuu huwa ya KANISA!

Baada ya kujiridhisha kuanzia kwa wanandoa mapaka ngazi zote, jukumu la mwisho huachiwa mamlaka zilizowekwa na mungu kama SERIKALI hasa ikipokea maelezo ya kina kutoka kanisani!

Hivyo naamini TALAKA ya Mama Josephine Mshumbusi ilifuata taratibu zote mpaka kukamilika na inabaraka za kanisa!

Kwa minajiri ileile ya maapizo ya ROMA, anaruhusiwa kuolewa, na sasa ANAOLEWA rasmi!

Karibuni ubwabwa pwaaaaaaaaa First Lady huyooooooooo! Magogoni wenye wivu mezeni wembe!
 

Asante sana mkuu, umenifungua macho. Kwa mantiki hii ni vema watu wajue mzee Dr. wetu ana kibali na ndiyo maana wakati Steven Wassira, mbunge wa kusinzia bungeni alimpomkashifu wakuu wa kanisa katoliki walikuja juu. Ndivyo nilivyokuwa nafahamu kuwa Dr. alifuata taratibu zote za kuacha upadre na zilimchukua miaka. Again, thanks for the useful sharing and others will benefit.
 
Ulitaka uolewe wewe...mbona chadema tuko wengi ambao hatujaoa njoo nikuoe au unamtaka dr Slaa tu.
Mshindwe kuoa wanawake mtaweza wanaume msije mkaolewa nyie tu.

Na ni kweli afadhali umekiri kwamba nyie Chadema wengi hamjaoa na mtaoaje wakati viongozi wenu ndio hivyo tena...Slaa,Mbowe wote hawana wake wanao eleweka,ukija kina Zitto,Mdee na kundi zima ndio hivyo.
 


Mkuu niko Mbali sana huku Nangurukuru natamani sana Ningehudhuria Hafla ya Ndoa yaDr. W. Peter Slaa (PhD) Lakini naamini nitashibishwa kwa Picha
 

Dr. Slaa hakuwahi kufunga ndoa kanisani hata kidogo. Hii ni ndoa yake ya kwanza kanisani baada ya kupata kibali cha kuacha upadre rasmi toka Roma. Rejao amefafanua vizuri sana post hapo juu nenda kasome.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…