MBWA HARUKI
Senior Member
- Jul 3, 2012
- 142
- 39
zee zima...yani aibu kwelikweli.
Kwani kati ya tarehe 27 Julai na 15 Agosti, tarehe ipi inatangulia?
Zee zima...yani aibu kwelikweli.
Kama tingatinga na kilango walienda, why not Dr?
malipo watayapata tu, meli zitazama hadi wastuke watubu hii dhambi kubwa namana hii
Zee zima...yani aibu kwelikweli.
Zee zima...yani aibu kwelikweli.
Umejilengesha kwake umemkosa umejileta JF na vipicha vya ushawishi umemkuta hamaindishi, kaa kimya basi unatuaibisha wanawake wenzio mbona unang'ang'ania hivyoo kizuka weye
Sent from my BlackBerry 9910 using JamiiForums
Swali: hivi na yeye ataenda honeymoon?
Mwingulu karibu kwenye sherehe!
Angalizo njoo na mke wako!
Zee zima...yani aibu kwelikweli.
Nina shaka na upeo wako,suala la kuachana na uliyempenda mwanzo na kuoa mwingine ni la kawaida duniani pote. Nashangaa wewe unasema ni aibu. Kumbuka hili ni jukwa ni kwa ajili ya kuboresha maisha ya watanzania kwa kuchangia hoja makini na siyo kutoa kashfa. Tumwombee Daktari maisha mazuri kwenye ndoa yake mapya. Rose kamili hana shida na mchakato huu,Zee zima...yani aibu kwelikweli.
Swali: hivi na yeye ataenda honeymoon?
Aibu sana hii,bora wafiche wasifanye hadharani...kibibi nacho kitatinga shela au...can't wait..