PICHA & HABARI; Jinsi CHADEMA walivyoiteka Makambako jana!!

wadanyika walivo mbumbumbu..!
Usikute kata yao hapo waliojiandikisha kwenye daftari la kudumu la kupiga kura ni robo yao tuh..!
Kazi sana nchi hii
kwa mwendo huo kuwatoa magamba pale magogoni BAAADAE SANNAAAA....!!
Huu ni mtazamo tuh..
Lakini robo hiyo hiyo ndiyo iliyoshinda kule Arumeru Mashariki.
 
Sasa ni dhahiri kabisa CCM ijiandae kuwa chama cha upinzani 2015 hii Taarifa na picha si habari njema hata kidogo kwa CCM, na sidhani kama kuna mtu wa kawaida wa kuichangia pesa CCM.
Nape anasema hao watu wote mnaowaona hapo walishapewa barua ya kufukuzwa na CCM. Tehe tehe!
 
hamna lolote, picha zakuunganisha (photoshop) cdm mnazd kujdanganya2 huku kusini hamna hatuendeshwi kwa mkumbo kama mnavyofanya nyny, sisi tunatathimi nakuchambua kwakina siyo kukurupuka2, ccm n makini sana, cdm upepo wamda2.
 
iliyoshinda arumeru mashariki ni robo hiyo hiyo unayoisema na robo tatu ya ccm ambayo ilikua haimtaki shemeji wa lowasa yule sioi..!!
Mkuu ushindi ni ushindi hata goli la kujifunga sisi tunalihesabu na kushangilia nyie ndio mtabaki mnalaumiana kama ni makosa ya kipa haya kama ni beki haya sisi hatuna haja ya kujua.
 
M4C funika mbaya na kama noma na iwe noma 2015 kitaeleweka wakulu
 
Ndio kawaida ya NAPE, huwa hana jipya kabisa zaidi ya propaganda
 
Mapambano yanaendelea vile vile yahusishwe na elimu kwa wapiga kura kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kisha kulinda kura zao hata vijijini.
 
hamna lolote, picha zakuunganisha (photoshop) cdm mnazd kujdanganya2 huku kusini hamna hatuendeshwi kwa mkumbo kama mnavyofanya nyny, sisi tunatathimi nakuchambua kwakina siyo kukurupuka2, ccm n makini sana, cdm upepo wamda2.

mfa maji....., 2015 tunadili na nyie magamba perpendiculary hamtoki.
 
halafu nape anaamini ccm itatawala milele.

huyu mshkaji future yake iko kushoto sana mana hata leo ameropoka et mbowe athibitishe kwa kuwataja hao mawazir na wabunge waliodai kuhamia chadema, sas kama c ujuha wa nape hv toka lini cdm wakaropoka habar ya uongo na uzush kama wa magamba,
akisahau mising ya cdm n kuwa chama makini alwayzzzzzzz!
 
Back
Top Bottom