PICHA & HABARI; Jinsi CHADEMA walivyoiteka Makambako jana!!

CHADEMA imalizeni haraka haraka iyo ccm(magamba) huko Tanganyika ili wazanzibar tupate nchi yetu maana hawa ccm wanajificha chini ya kivuli cha muungano wanaiba huku na huko ......

CDM siku zote hizo mlikua mnasubiri nini WAMALIZENI FASTAAA , kazi yao ufisadi na kuididimiza tanzania katika umasikini
 
Habari za kiiteligensia zinaonesha Mh. Joshua Nasari ametoa maneno ya uchohezi, Anatafutwa na polisi lakini kwa bahati mbaya amezima simu yake, ifikapo jioni leo tutaanzisha msako mkali, na hili halitaishia kwa Nasari tu, bali kwa wote wenye lengo la kuvuruga amani na utulivu nchini, ikiwepo kuitisha mikutano isiyo na tija na kusababisha wananchi kuacha kazi za kuleta maendeleo ya taifa na ya kwao wenyewe.

Tulia unyolewe!!
 
inafurahisha kuona kwa hiari yao baada ya mkutano wanachangia fedha za kuendesha chama . si fedha zilizokwapuliwa kwenye account za madeni ya nje> hao ccm wasome alama za nyakati ndo wajue mambo si mambo mmmmh
 
CHADEMA pelekeni M4C mkoa wa Kagera,anzeni na Wilaya ya Ngara ambako wananchi wake wamelala usingizi wa PONO wakiota ndoto za CCM licha ya umaskini wa kutupwa unaoikabili wilaya ,hakuna mbune wa CCM aliyewahi ku represent wilaya hii,,wote ni wachumia tumbo,pia bado watu wa Ngara wanaogopa wakidhani kuchagua upinzani au kujoin upinzani ni abomination.Mkimaliza huko nendeni wilaya ya Muleba nako mwamko upo lakini mdogo,wekeni kambi Bukoba vijijini na fikeni hadi vitongojini kwani huko ndio mbumbumbu wa multipartism,Bukoba mjini kazi ni luwabadili from CCM-B to M4C,malizieni na Karagwe,huko hata mkikaa siku 2 zinatosha kwani uko wameelimika na hawataki mchezo.
 
Back
Top Bottom