PICHA & HABARI; Jinsi CHADEMA walivyoiteka Makambako jana!!

Kweli wananchi wamepata mwamko..! Hongera CDM kwa kufikisha ujumbe kwa wananchi vijijini na kuwapa matumaini na moyo kwamba nchi hii ni yao na wao (wananchi) pekee ndio wenye uwezo na sauti wa kujiamulia mustakabali wa nchi yao..
 
Ndugu,

Wasema kweli ndugu.
 
Lazima itakuwa Arusha hapa.

Matatizo ya kufikiria kwa kutumia masaburi hayo,Kuanzia Iringa hadi Nchi ya mbeya ccm ni wapenzani km sio kuchakuchua kwa nchimbi hadi songea ilibidi wabunge wawe wa CDM.hiki kilikua kimbunga ss Tsnami inakuja 2015 hasalimiki mtu wa magamba,utajicheki hadi mzee nyimbo aliyekua usalama wa taifa kaamua kukikacha chama sembuse ww balozi au diwani?hama huko uliko utazeeka mapema kwa hasira wakati huku siku za kuishi zinaongezeka kwa kucheka na furaha
 
Ahsante sana kwa mtiririko mzuri wa taarifa iliyoshiba,inatia moyo kuona wananchi katika maeneo mbalimbali ya nchi wana kiu ya maendeleo wao wenyewe
 
Ahsante sana kwa mtiririko mzuri wa taarifa iliyoshiba,inatia moyo kuona wananchi katika maeneo mbalimbali ya nchi wana kiu ya maendeleo wao wenyewe

Wimbo uliokuwa unaimba hapo ni ule 'asiyependa shule ni mjinga'

Halali mtu... hadi kieleweke!!
 
narudia tena kusema tena.CCM wao wana fedha Chadema wana Mungu.hakika watafika mbali
 
Waliokuwa wanasema Oooh mbona kila siku Arusha wapo wapi??

TUMBIRI wa JF,
P.O BOX - PM JF.

Kwani uongo? Wewe kwenye hizo picha umemuona Mbowe au Slaa? Lakini ingekuwa mkutano uko kaskazini ungewaona wakiwa wamejaa tele.
.
"Ama kweli CHADEMA NI SAWA NA NG'OMBE ASIYE NA BEI SOKONI".
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Kama makambako kishindo kilikuwa kikubwa hivyo basi kimeshaeleweka iringa twende kazi twanga kote kote!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
CDM malizeni huko mikoani maana huko ndio kuna kura za uhakika, Dar es salaam kuwe pa mwisho maana Jiji hili limejaa wasanii na waga nga njaa mwengi sana.

Mkifanikiwa kuikamata mikoa ya uhakika japo 15 tu. hakika nchi mnaichukua. hivi sasa, mna nusu ya mikoa ifuatayo Arusha, Kilimanjaro, Mwanza, Mara, kigoma. robo mikoa ya Dar, Mbeya, Iringa, singida na Rukwa.

Safari bado ni Ndefu kaza buti Pipozzzzzzzz
 
Hongersa sana watu wa Iringa na hongera sana Mh. Thomas Nyimbo. Huyu Nyimbo baada ya kuchakachuliwa ubunge alijikita katika kukiimarisha chama nina uhakika 2015, aidha yeye au yeyote atakayeteuliwa na chama kugombea ubunge mambo yatajkuwa swaafi!
 
CDM malizeni huko mikoani maana huko ndio kuna kura za uhakika, Dar es salaam kuwe pa mwisho maana Jiji hili limejaa wasanii na waga nga njaa mwengi sana.

Mkifanikiwa kuikamata mikoa ya uhakika japo 15 tu. hakika nchi mnaichukua. hivi sasa, mna nusu ya mikoa ifuatayo Arusha, Kilimanjaro, Mwanza, Mara, kigoma. robo mikoa ya Dar, Mbeya, Iringa, singida na Rukwa.

Safari bado ni Ndefu kaza buti Pipozzzzzzzz
wadanyika walivo mbumbumbu..!
Usikute katai yao hapo waliojiandikisha kwenye daftari la kudumu la kupiga kura ni robo yao tuh..!
Kazi sana nchi hii
kwa mwendo huo kuwatoa magamba pale magogoni BAAADAE SANNAAAA....!!
Huu ni mtazamo tuh..
 
Kwani uongo? Wewe kwenye hizo picha umemuona Mbowe au Slaa? Lakini ingekuwa mkutano uko kaskazini ungewaona wakiwa wamejaa tele.
Kubalini yaishe, mlikuwa mnalalamika mikutano ya CDM inafanyika Arusha tu sasa mmegeuza mnataka kumwona kamanda wa anga, subiri akitua utajua mkoa mzima huwa unatetemeka kuanzia RPC hadi RC.
 
Kwani uongo? Wewe kwenye hizo picha umemuona Mbowe au Slaa? Lakini ingekuwa mkutano uko kaskazini ungewaona wakiwa wamejaa tele.
.
"Ama kweli CHADEMA NI SAWA NA NG'OMBE ASIYE NA BEI SOKONI".
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
Mkuu unatapatapa umefikia mwisho wako, huo hapo ni ushahidi tosha kwani umeona Mbowe na Slaa ndio viongozi pekee wa CHADEMA!!!! Imekula kwako propoganda zako za hoo CHADEMA ni ya kaskazini zimefeli vibaya, CHADEMA imeenea Tanzania yoote si umeona????

30 Reactions
Reply
Back
Top Bottom