Picha: Ghetto la ndege John

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,565
44,756
Kama walivyo vijana wengi na Mimi nimepanga Chumba mitaa fulani hapahapa mjini dar.nawakaribisha wote kunitembelea
Nimekuletea picha za chumba changu.chumba changu kimsingi kina vitu vingi kama vile stoo ila maisha ndo hivo yanaendelea
1554621153533.jpeg
1554621169391.jpeg
1554621187830.jpeg
IMG_20190407_095905.jpeg
IMG_20190407_095745.jpeg
 
Kama walivyo vijana wengi na Mimi nimepanga Chumba mitaa fulani hapahapa mjini dar.nawakaribisha wote kunitembelea
Nimekuletea picha za chumba changu.chumba changu kimsingi kina vitu vingi kama vile stoo ila maisha ndo hivo yanaendelea View attachment 1064789View attachment 1064790View attachment 1064791View attachment 1064792View attachment 1064793
Unanikumbusha ile nyimbo ya Uliza Kiatu. Na pia sema jumba langu. maana hapa hata demu hachomoki la maana sana
 
Jiko La gesi unaliweka chumbani mkuu uko serious na uhai wako kweli, ushauri wangu jitahidi usafi ni aibu mifuniko ya ndoo kuiweka juu ya godoro. Punguza kwenda kwenye mikutano ya ccm ufanye usafi ghetto.
 
Back
Top Bottom