PICHA/FLYOVERS; MAGUFULI OYEEE!!! CCM OYEEE!!!

kb52 hiyo ndoto unayoiota wataiona kizazi chako cha saba,sasa kaa chini na calculator uangalie itakuwa mwaka gani kama sio 2350..nashangaa bado kuna watu wanakaa na kuzifurahia ahadi za ccm.think positive dude.
 
Hii ni Riwaya ya kusadikika na umeamua kujitekenya na kucheka mwenyewe.
 
Daaah,ila akili zetu watanzania,Mungu atusaidie
 
Ondoa utoto wako hapa, nyie ndiyo mnaishusha hadhi JF, wote tunaonekana mazuzu.. Swine
Ungekua ni utoto usingekoment kitu chochote hapa; Unachofanya ni ujuaji tu hapa; hutaki kuwa Muelewa. Na unachuki na CCM!!!
 
Treni ya Umeme ikipita Daraja la Ruvu ikitoka MORO kwenda Dar,chini ni Moro road,kushoto ni fly over, 5 yrs to come : Tizama picha hapa chini ! CCM CHAMA DUME!

si bure, maleria itakuwa imekupanda kichwani!!!
 
5years to come?????? Kwa Tanzania hii hii? Ptuuuuuuuu. Kwanza kwa umeme upi labda? Huu huu ambao kuwaka 24Hrs bila kukatika tunashangaa?
Ndugu una ndoto nzuri sana ila hebu zipe muda. Sio sasa wala miaka 20 ijayo
Ndugu, mbona daraja la kigamboni imewezekana? Check majumba marefu mazuri yanavyojengwa DSM, flyovers kwanini hamtaki kuamini? Acheni chuki na CCM
 
Treni ya Umeme ikipita Daraja la Ruvu ikitoka MORO kwenda Dar,chini ni Moro road,kushoto ni fly over, 5 yrs to come : Tizama picha hapa chini ! CCM CHAMA DUME!

Nadhani kwa siku ya leo huu ndio uzi wa KIPUMBAVU KABISA KUUONA!!!
 
Ndugu, mbona daraja la kigamboni imewezekana? Check majumba marefu mazuri yanavyojengwa DSM, flyovers kwanini hamtaki kuamini? Acheni chuki na CCM

Sina chuki na CCM wala serikali ya sasa. Tunaangalia ukweli wa mambo tu. Hivi unajua reli ya Dar-Tanga-Arusha imekufa kabisa? Kuna sehemu zimebaki alama tu kuwa iliwahi kuwepo reli lakini hakuna hata chuma wala wala kokoto? Unajua reli ya kati inapita wiki hadi wiki mbili hakuna treni limepita? Hivi unajua kuwa reli ya kati kipindi cha masika nyingi reli haiunganishi Dar na Dodoma kwa zaidi ya miaka kumi sasa? Kama reli hii ya kawaida kabisa imetushinda ndio tutaweza ya umeme? Tena kwa miaka mitano tu? Ndugu yangu kama ni mahaba na chama basi yamekutia upofu.
 
Maisha hayawezi kusonga pasina ndoto. Ndoto ni muhimu. Acheni kukatisha watu Tamaa. ILANI YA CCM ITAKAMILISHA YOTE HAYA WITHIN 5YRS FROM NOW, CHINI YA PIERRE MAGUFULI
 
Treni ya Umeme ikipita Daraja la Ruvu ikitoka MORO kwenda Dar,chini ni Moro road,kushoto ni fly over, 5 yrs to come : Tizama picha hapa chini ! CCM CHAMA DUME!

Kkkkkkkkkkkkk na treni ya umeme[emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Ndugu, mbona daraja la kigamboni imewezekana? Check majumba marefu mazuri yanavyojengwa DSM, flyovers kwanini hamtaki kuamini? Acheni chuki na CCM
Acha ushabiki wakichama wewe jua tupo katika kipindi kigumu sana.Jaribu kufikiri kabla hujasema jambo.
 
We Ni s
Treni ya Umeme ikipita Daraja la Ruvu ikitoka MORO kwenda Dar,chini ni Moro road,kushoto ni fly over, 5 yrs to come : Tizama picha hapa chini ! CCM CHAMA DUME!

we Ni sawa na anayekula ugali kwa picha ya samaki
 
Endelea ota, hii ya Tazara hadi leo sijaona kitu
 
Nadhani kwa siku ya leo huu ndio uzi wa KIPUMBAVU KABISA KUUONA!!!
Wadada wengi wa chadema hawapendi kuamini kwamba CCM ni mkombozi wa TANZANIA. Acheni chuki. Tushirikiane kuijenga nchi yetu. Maendeleo hayana chuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…