Hii hapa kwa ukubwa zaidiMimi ni moja wapo wa waliokua kwenye hii HICE ebu nambie konda anaongea nini unaweza kupatia ni kanda gani hapa nchini au kama unaweza taja na mkoa.. View attachment 870121
Imepigwa na Mzee GHOST
UMETISHA MKUU NAKUPA 75 %Mwanza hiyo chata ya Buhongwa - kisesa na hapo ni kituo cha Mohammed au Sahara. Maongezi sijui alikua anasemaje
Aaagh em acha zako wewe, iyo sio bongo hatuna debe za namna hiiAbiria chunga mzigo wako.... siti za kulala mzee kariakoo mia mia.
Aaagh em acha zako wewe, iyo sio bongo hatuna debe za namna hii
Bongo uliondoka kabla ya alhasan mwinyi?
Umetisha mzee hapo ni mwanza mojaMwanza hiyo chata ya Buhongwa - kisesa na hapo ni kituo cha Mohammed au Sahara. Maongezi sijui alikua anasemaje
Nakumbuka sauti za wapiga debe, kariakoo mia mia kariakoo mia mia.... aka jiti
Enzi za wimbo wa mikasi, nilikuwa napenda mashairi ya ule wimbo....
'"Usikuu huu unaenda wapi wakat hiyo jiti hata soda hupati, labda uiweke kesho unywee chai na chapati".
Wee anti uliovaa shati, ......... acha longolongo wee sema una shiinggapii.
Mitungii blaxiiii mikasiii oooiyooooo
Kama ukitaka kuvinjari nasi basi mfukoni mwako nako uwe safiii c'mon c'mon
Enzi hizo nayaruka majoka hatari, nilikuwa silali... Nikitoka kazini narudi nyumbani kubadili nguo natoka. Narudi alfajiri naoga navaa kabisaaa najiengesha kitandani miguu chini ili niwahi kuamka kuwahi kazini daaaah kweli ujana majo ya moto.
Kasinde waliita popo nakesha nakula ujana.... wooyoowoooo....
Sikuizi jiti unapata pipi tofy 3 tuu, andazi moja labda na sigara..
Hakuna usafifri wa jiti jiti, ni mwendo wa jiti 4