Picha fikirishi ya siku atakayepatia

mpiga era

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
2,079
2,255
Mimi ni moja wapo wa waliokua kwenye hii HICE ebu nambie konda anaongea nini unaweza kupatia ni kanda gani hapa nchini au kama unaweza taja na mkoa..
Screenshot_20180918-164601.jpg

Imepigwa na Mzee GHOST
 
Mwanza hiyo chata ya Buhongwa - kisesa na hapo ni kituo cha Mohammed au Sahara. Maongezi sijui alikua anasemaje
UMETISHA MKUU NAKUPA 75 %

umeshindwa kujua tu konda anasemaje

Yaani umepatia swali gumu umekosa rahisi. Hahahaa we ni shida
 
Aaagh em acha zako wewe, iyo sio bongo hatuna debe za namna hii

Bongo uliondoka kabla ya alhasan mwinyi?

Nakumbuka sauti za wapiga debe, kariakoo mia mia kariakoo mia mia.... aka jiti

Enzi za wimbo wa mikasi, nilikuwa napenda mashairi ya ule wimbo....

'"Usikuu huu unaenda wapi wakat hiyo jiti hata soda hupati, labda uiweke kesho unywee chai na chapati".

Wee anti uliovaa shati, ......... acha longolongo wee sema una shiinggapii.

Mitungii blaxiiii mikasiii oooiyooooo
Kama ukitaka kuvinjari nasi basi mfukoni mwako nako uwe safiii c'mon c'mon

Enzi hizo nayaruka majoka hatari, nilikuwa silali... Nikitoka kazini narudi nyumbani kubadili nguo natoka. Narudi alfajiri naoga navaa kabisaaa najiengesha kitandani miguu chini ili niwahi kuamka kuwahi kazini daaaah kweli ujana majo ya moto.

Kasinde waliita popo nakesha nakula ujana.... wooyoowoooo....
 
Sikuizi jiti unapata pipi tofy 3 tuu, andazi moja labda na sigara..

Hakuna usafifri wa jiti jiti, ni mwendo wa jiti 4
Nakumbuka sauti za wapiga debe, kariakoo mia mia kariakoo mia mia.... aka jiti

Enzi za wimbo wa mikasi, nilikuwa napenda mashairi ya ule wimbo....

'"Usikuu huu unaenda wapi wakat hiyo jiti hata soda hupati, labda uiweke kesho unywee chai na chapati".

Wee anti uliovaa shati, ......... acha longolongo wee sema una shiinggapii.

Mitungii blaxiiii mikasiii oooiyooooo
Kama ukitaka kuvinjari nasi basi mfukoni mwako nako uwe safiii c'mon c'mon

Enzi hizo nayaruka majoka hatari, nilikuwa silali... Nikitoka kazini narudi nyumbani kubadili nguo natoka. Narudi alfajiri naoga navaa kabisaaa najiengesha kitandani miguu chini ili niwahi kuamka kuwahi kazini daaaah kweli ujana majo ya moto.

Kasinde waliita popo nakesha nakula ujana.... wooyoowoooo....
 
malizia siti nyuma,bado mmoja twende. kanda ya ziwa,siku hizi ni kishiri nyashishi au Kisesa nyashishi.nadhani hapo ni sahara,ile njia inapandisha kwenda bugando kanisani/parokiani
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom