Picha fikirishi ya siku atakayepatia

Enzi hio bongo flavour ilikuwa tamu, enzi za wimbo wa Tshirt na jeans.

Hapo juzi hivyo mimi ndo nabelehe kumbe huna ukongwe mimi nakumbukia

sijui nani alikuwa anaimba 'sambulooo ohhhh sambulooo ohhh' kina awilo longomba na kofi olomide ata nanilu bongo fleva haijazaliwa maana tulikuwa tunasikiliza zouk za monique seka ... amiyoo, na ule wimbo wa okamoni duhhh wakati kipindi icho Moshi zilikuwa radio tatu tuu yaani radio one, sauti ya injili na RFA


Huyo konda alikuwa anamwambia abiria, "... zama ndichi bashite wewe..."

abiria anamjibu mbona pamejaa

konda," we ni shoga mbabe nini mbishi kama chakubang... sepaaaa nzige mwitu wewe
 
Back
Top Bottom