Picha ,,Fake“ za Tundu Lisu!

Hata kama ni picha feki wewe kinakuwasha nini? Hacha ziwe feki sisi tunazikubali....!!!!!!!

Katufumbua macho jamani si mmsifu kuwa ni mtaalam?? Swali; Walitutumia hizo picha fake kwa ajili gani?? Kuwa huenda TL hayupo tena na sisi lakini tunadanganywa? Je, ni nani mdanganyifu, CDM au CCM?
Mpaka mkaleta habari mbichi ambayo haijawiva kupotezea hizo picha fake!! Kweli acha ziwe fake, sisi tupo tiyari kudanganywa nazo
 
Hatuna event jamani ya kufunika hizi habari za Lissu? Maana zinataka kuibuka tena
 
Hivi mkuu upo serious kabisa kudai zile picha ni feki? Sasa watu watume picha feki ili iweje? Hivi mijitu mizima kama ww kuuliza swali kama hilo unakua umeiweka wapi akili?
 
Ujumbe huu ni wa kwako na unaowajua, Mungu hadhiakiwi we kiumbe;
Ikiwa ni jumamosi tulivu, pata neno kutoka katika kitabu kitakatifu Mwanzo 9:6
"Atakayemwaga Damu Ya Mwanadamu, Damu yake huyo Itamwagwa na Mwanadamu, Maana kwa Mfano wake Mungu Alimfanya Mwanadamu".
KARMA
 
Mimi sidhani kuwa na roho mbaya ni sifa, na sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kusisitiza juu ya picha halisi kuwa ni picha feki, lazima atakuwa na matatizo makubwa katika mwili wake.
Lazima atakuwa anahitaji msaada tena mkubwa.
Unajua kuwa kichaa siyo lazima uvue nguo , ni matendo yatakutambulisha tu kuwa wewe ni kichaa.
 
Back
Top Bottom