Picha ,,Fake“ za Tundu Lisu!

Picha ,,Fake“ za Tundu Lisu!

Ili ukazifanyie nini sasa, maana hatujasikia mkewe mwenye mume wake na ambaye yupo naye Nairobi akisema ni feki au wewe ni bi mdogo unataka haki ya kumuona mumeo na umenyimwa?

hahahhhaa jaman !kwahyo kumbe Barbarosa anappumliwa ? na hii ni mara ya 2 naskia hizo tetesi aisee !kwamba wamanisha anautafta uke wenza kwa ngv !kwamba anatamani sana Lissu awe mumewe???
 
Kama hazikuwa ,,fake" tunaomba tuone nyingine, mbona hamturushii mpya?
Unafiki wenu unawaponza sana.

Kama hamjaridhika rizika na mlizoziona nendeni Nairobi mkamuone Live
Mashetani wakubwa ninyi!!!
 
Ukijizoesha kujifanya mjinga/mpuuzi ilhali ni mwerevu mwishowe utakuwa mjinga/mpuuzi kweli!

Unachokitafuta utakipata..
 
Kama hazikuwa ,,fake" tunaomba tuone nyingine, mbona hamturushii mpya?
mpya hii hapa
WhatsApp Image 2017-10-21 at 11.44.11.jpeg
 
Hayo mambo ya kupiga piga picha kwa kila event anayaweza ndugu yako bashite
Kwa hiyo hadi ile clip ya kushukuru nayo unataka itumwe nyingine?

Wewe ni hater.
Mwambie huyo maana anawashwawashwa
 
Ili ukazifanyie nini sasa, maana hatujasikia mkewe mwenye mume wake na ambaye yupo naye Nairobi akisema ni feki au wewe ni bi mdogo unataka haki ya kumuona mumeo na umenyimwa?
Hahahahahaha inawezekana Bi mdogo
 
Back
Top Bottom