Picha ,,Fake“ za Tundu Lisu!

Kama hazikuwa ,,fake" tunaomba tuone nyingine, mbona hamturushii mpya?
Sugu naye kafanya photoshop.

FB_IMG_1508530701620.jpg
 
Mimi sidhani kuwa na roho mbaya ni sifa, na sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kusisitiza juu ya picha halisi kuwa ni picha feki, lazima atakuwa na matatizo makubwa katika mwili wake.
Lazima atakuwa anahitaji msaada tena mkubwa.
Unajua kuwa kichaa siyo lazima uvue nguo , ni matendo yatakutambulisha tu kuwa wewe ni kichaa.
Sio lazima sana ujibishane na hao watu... Nina rafiki yangu yupo kwenye hicho kitengo cha uropokaji mitandaoni. Sasa hivi amepewa kinafasi kwenye halmashauri moja. Mwanzo sikuwa namuelewa kabisa, nilikuwa naona ni kijana mwenye mambo ya kizee.... Nimekuja kumuelewa hv karibuni tu, siku aliyoniambia hii kazi ndio inayoniweka mjini, ila najijua mwenyewe... Sasa usijibishane na watu wa aina hiyo, wanapewa mikakati. Wengine wharsapp, wapo wa facebook na insta ndio hawa wengine huku JF. Unalipwa kadri unavyomwaga upupu, wanapigana kufa na kupona lisionekane jina lolote kuwa juu ya Mteule alietukuka (Mfalme)... Lakini sasa mtu mwenyewe ndio hivyo habebeki, unamsaidia kumpandisha mahali akishafika juu anakukojolea. Jina la mteule likitajwa mara moja la Lissu linatajwa mara tatu. Hasira ndio zinazidi. Siku zote ili ukijue feki unalinganisha na Original, anaesema picha ni feki atupe yeye original tujiridhishe. Vinginevyo utakuwa ni mwendelezo tu wazungu wanasaini proposal ili ikajadiliwe na wafanya maamuzi, sisi tunashangilia na kupongezana tunalipwa mabilioni.
 
[Q UOTE="kivyako, post: 24060141, member: 69166"]Hatuna event jamani ya kufunika hizi habari za Lissu? Maana zinataka kuibuka tena[/QUOTE]
Kwa ile ya Meja Jeneral ilifia wapi? Tehtehteh
 
Pumbaff kabisa inaelekea hata siku Lissu akirudi utasema si yeye na utasema chadema wametafuta mtu mwingine anayefanana na Lissu!!

Nenda kaharishe mbele shwain
 
Back
Top Bottom