Mnaumia sana sasa hivi mwaka unaisha mnazidi kupungua tu simnajitakia magonjwa ya presha bure ccm kumenoga na jpm😆😆😆😆 weka uzi mpya ulipwe elfu 7 kwa ajili ya sikukuu .
Hivi si tuliambiwa mikutano ya siasa ni kwa ajiri ya wabunge tu?
Ni 7,500😆😆😆😆 weka uzi mpya ulipwe elfu 7 kwa ajili ya sikukuu .
Waha wana damu ya upinzani 2020 atapigwa vibaya sana!Huyu kijana 2020 apewe jimbo hilo akawapoteze chadema bungeni
State agent
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha naye kakusanya watu wazima huko au walisombwa kwa magari kuja kumuona Dk.Bashiru ?!Usituchekeshe, hiyo ndiyo afya aliyotoka nayo Chadema, unakuwa diwani/Mbunge lakini unalazimishwa posho iingie mfukoni mwa mfalme lazima ukonde kwa mawazo.
Mpe mwaka mmoja aambukizwe vitambi vya CCM.
View attachment 1300794
Mkuu USSR umeniuliza swali la kiufundi sana anyway, nafikiri tumesikia mara kadhaa mheshimiwa Rais Dr. JPM akituambia mara kadhaa, lakini Mh.
Ataikumbuka sana siku hiyo, jee walijaa kwa kumpenda au kumshangaa kwa kuikimbia Chadema chama kubwa?Aliyekuwa kijana mtiifu na mtumikia wasiokuwa na shukrani Diwani wa Gwarama msomi wa UDMS baada ya kuachana chadema Leo amekuja kukiuwa na kukizika jumla hapa Gwarama katani na ujumbe umesambaa Kakonko nzima sasa wananchi wanaondoa vibendela vyote na chadema ndio mwisho wake wilayana Kakonko
Wanainchi wameeita zawadi ya sijui za mwisho wa mwaka
Onyo: ukifika Kakonko usipanue vidole juu huku sasa ni ccm na maendeleo sio muda wa kudai demokrasia
USSRView attachment 1300666View attachment 1300667View attachment 1300669View attachment 1300670View attachment 1300671View attachment 1300672
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao waliojaa walikua ni wananchi, waliopiga kura za maoni ni wajumbe wachache, ambao walikua tayari na watu wao.Ataikumbuka sana siku hiyo, jee walijaa kwa kumpenda au kumshangaa kwa kuikimbia Chadema chama kubwa?
UDMS inaonekana chuo kikuu hujawahi kukiona.Aliyekuwa kijana mtiifu na mtumikia wasiokuwa na shukrani Diwani wa Gwarama msomi wa UDMS baada ya kuachana chadema Leo amekuja kukiuwa na kukizika jumla hapa Gwarama katani na ujumbe umesambaa Kakonko nzima sasa wananchi wanaondoa vibendela vyote na chadema ndio mwisho wake wilayana Kakonko
Wanainchi wameeita zawadi ya sijui za mwisho wa mwaka
Onyo: ukifika Kakonko usipanue vidole juu huku sasa ni ccm na maendeleo sio muda wa kudai demokrasia
USSRView attachment 1300666View attachment 1300667View attachment 1300669View attachment 1300670View attachment 1300671View attachment 1300672
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi Mpwa, na yeye kapigwa spana??Ataikumbuka sana siku hiyo, jee walijaa kwa kumpenda au kumshangaa kwa kuikimbia Chadema chama kubwa?