Uliambiwa na nani ?Hivi si tuliambiwa mikutano ya siasa ni kwa ajiri ya wabunge tu?
Kiukweli kabisa hiyo picha hafananii kuwepo hapo,Hana amani kabisa uso haudanganyi.kwanini yuko hivyo Mimi sijuiii.vijana tusipoteze heshima zetu na utu wetu kirahisi...kwenda ccm kijana unayejielewa kisa viahadi vya kupunguza ufukara wetu ni kuwapa ujumbe wananchi kuwa wakikupa nafasi kubwa zaidi hutawaacha Salama nao...utawasaliti tu
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] weka uzi mpya ulipwe elfu 7 kwa ajili ya sikukuu .
Hebu mpeni chakula walau apate nyama huyo kijana amedhoofu mpaka anatia kinyaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Usituchekeshe, hiyo ndiyo afya aliyotoka nayo Chadema, unakuwa diwani/Mbunge lakini unalazimishwa posho iingie mfukoni mwa mfalme lazima ukonde kwa mawazo.Hebu mpeni chakula walau apate nyama huyo kijana amedhoofu mpaka anatia kinyaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kamnyama kadogo dogo kana itwa Nguchiro umesha wahi kukaona?Usituchekeshe, hiyo ndiyo afya aliyotoka nayo Chadema, unakuwa diwani/Mbunge lakini unalazimishwa posho iingie mfukoni mwa mfalme lazima ukonde kwa mawazo.
Mpe mwaka mmoja aambukizwe vitambi vya CCM.
View attachment 1300794