Picha: Dr. Slaa,Lissu na Suzan Lyimo watikisa SAUT

Picha: Dr. Slaa,Lissu na Suzan Lyimo watikisa SAUT

naona imebaki misukule hii michache. nayo muda sio mrefu itazinduka na kujua ulaghai wa hawa jamaa.

Sisi hatubishani na magamba maskini kama sisi ambao mnatumiwa kma kalai,wakati wa ujenzi then mnatupwa,sisi tunabishana na magamba papa kma jangiri kinana,mtoto wa kambo Nape,mzee wa kufoji vyeti na majina Mwigulu na mkubwa wao mr dhaifu,nyie wazee wa pakti ya chumvi hamtusumbui
 
Attachments

  • DSCN4302.JPG
    DSCN4302.JPG
    1.9 MB · Views: 210
we endelea kuwalamba miguu wachaga. Mambo ya wahaya hayakuhusu kenge we

Huyu atakuwa ni muha, mara kadhaa majina ya kiha na kihaya hukaribiana. Mu-ha, Mu-ha-ya, muhaya ni muha iliyoongezwa ya. Hiyo ya inawatofautisha sana kitabia. Ni vigumu muhaya kujikomba kwa mwanauma mwenzake, kujenga hoja za jikoni na kuishi kujipendekejiza pendekeza. Muhaya si mbaguzi wa kabila kama alivyo ABAKORAKAMO.
 
sasa ndio umeongea nini? hujielewi msukule we
 
Kama unashindwa kuandika waombe wenzio wakuandikie wewe ndio u-post,,,

Next time please, sitaki nione huu uchafu..

we kama nani? jf ni mtandao huru wa kijamii,hakuna wa kumtishia mwenzake zaid ya mods,nyie watu wa ccm hamnazo kweli...
 
Hivi ni lazima kweli mtu mzima kama wewe upost uchafu wako na kutaka watu wachangie? sasa umepost hoja gani? Yaani ukipatwa na mihemuko tu unajijibu na kujiliwaza kwa kutoa post za kijinga, jirekebishe bwana acha utoto

wewe ni wa kike halafu umeingia choo cha kiume tena chenye urine cane! Endelea kusubiri zishuke chini ukojoe
 
vijana wanatakiwa kuelimika vinginevyo watatumika pasipo kuona kile wanachokitarajia.....
 
Nashukuru kwa dharau mliyonionyesha kisa mmepata imported education.
Kusema hela ndio kila kitu n vgum kunielewa waajiriwa wa vyeti mnaotegemea mishahara na wengine mna degree ila mnapiga temple jobs.
Kwa taarifa tu siwez kujisifia kwa kuwa na knowledge from abroad na kudharau wengine ingawa ninayo.
Mtoto wa kiume nacontol my environment bila kutumia imported knowledge.
Ndio maana c wakitaa tukija kwenye ofisi zenu huwa tunawanunua au kuwahonga kwa buku 5 tu kila ki2 kwenye mstari.
Subirin mkistaafu ndo mtajua kat ya elimu na hela kipi kilianza.
Kenge kabisa!
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA,Dr.Wilbrod Peter Slaa amewaasa vijana wasomi ambao watafanikiwa kupata madaraka kuepuka rushwa. Dr.Slaa ameyasema hayo leo hii alipohutubia Wasomi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino-Mwanza. Dr.Slaa pia amewaasa vijana wasomi nchini kuwa na maadili katika uongozi wao yatakayowasaidia kuepuka rushwa na vita za kimadaraka.

Maoni yangu:Hongera Dr. Slaa kwa kuliona na kulisemea jambo hilo. Ni kweli vijana wengi wasomi wanapopata madaraka hulewa mapema na kujihusisha na rushwa. Ni vijana hao ambao hutufanya vijana wote kutoaminika kirahisi kutokana na kuboronga kwao.

Vijana wasomi tujirekebishe...

ule mkopo alichukua bila kikao maalumu sio rushwa.unachukua pesa za ofisi bila idhini .
 
we kama nani? jf ni mtandao huru wa kijamii,hakuna wa kumtishia mwenzake zaid ya mods,nyie watu wa ccm hamnazo kweli...

Umemjibu vema mkuu,kama anaona kuna makosa anaweza pita bila kusoma then watasoma wengine ,ama ningemwona bora kwa kutoa msaada wa namna ya kuandika kwa kuelekeza vifaaa vya kuandikia namna anavyopenda,zaidi ya hapo namwona mwiga tu.
 
Hongereni makamanda, jipeni moyo maana kazi hii si rahisi.
 
Huyu atakuwa ni muha, mara kadhaa majina ya kiha na kihaya hukaribiana. Mu-ha, Mu-ha-ya, muhaya ni muha iliyoongezwa ya. Hiyo ya inawatofautisha sana kitabia. Ni vigumu muhaya kujikomba kwa mwanauma mwenzake, kujenga hoja za jikoni na kuishi kujipendekejiza pendekeza. Muhaya si mbaguzi wa kabila kama alivyo ABAKORAKAMO.

Mbona huyu ni muha,sema sheria za JF zinazuia kuwataja members waliojificha kwenye majina kuwataja kwa majibu yao halisi ,bt huyu ni muha sema ni wale wakimbizi wa 1966 na 1972 kutoka nchi jirani ya Burundi na ana mixa na wabembe kutoka Kongo
 
Sisi hatubishani na magamba maskini kama sisi ambao mnatumiwa kma kalai,wakati wa ujenzi then mnatupwa,sisi tunabishana na magamba papa kma jangiri kinana,mtoto wa kambo Nape,mzee wa kufoji vyeti na majina Mwigulu na mkubwa wao mr dhaifu,nyie wazee wa pakti ya chumvi hamtusumbui
funza yake mavi.
 
Ndo kwanza kumekucha SAUT na kanda ya ziwa ,tumeazimia kuifta CCM kanda ya ziwa
 
Endeleeni kujifariji kwenye mitandao ya kijamii anguko kuu laja tunaesabu miezi michache tu
 
Back
Top Bottom