Picha: Dr. Slaa,Lissu na Suzan Lyimo watikisa SAUT

Picha: Dr. Slaa,Lissu na Suzan Lyimo watikisa SAUT

kwa kukusaidia tu,hapa SAUT tuna tawi letu na vyeti vinapatikana hapo.cDM ipo imara sana hapa SAUT ikiwa na wanachama kibao,inao wanachama zaidi ya 75 percent ya wanachuo wote.
 
kwa kukusaidia tu,hapa SAUT tuna tawi letu na vyeti vinapatikana hapo.cDM ipo imara sana hapa SAUT ikiwa na wanachama kibao,inao wanachama zaidi ya 75 percent ya wanachuo wote.

wacha! Weka ushahidi coz utakuta hata chuo hujui kilipo'
 
Abokaramo ana haha act kwishenei kupitia ukwa na mama zitto amewachia mwanae wosia asihame chadema milele
 
Nimewaona ITV wakiwa wanagawa vyeti kwa wanachuo wa SAUT Mwanza ila cjaona wakigawa kadi.
Vp hakuna wanachama waliojiunga na chama? Na vyeti ni vya kupongeza nini? Mtu anaweka cheti chenye signature ya kina Lissu si bora utengeneze chakwako usaini mwenyewe? Hahahaha....
Hebu tuambieni wanaSAUT hamna wanaojiunga na CDM huko chuoni maana cjaona kadi nimeona vyeti. Kama hamna, basi ndo buriani janga CDM.
Nlivo ona tu jina lako nkatema mate!
 
Dah! dah! mijitu mingine ina wivu sana,
Chadema lazima wawamalize kabla 2015
 
viongozi wa chadema wamejaa roho mbaya. Taifa lina msiba wao wanaendelea na mikutano yao uchwara

Taifa lina Msiba upi wa George Tyson yule wa Bongo Movie? wewe kweli akili una maana Mkutano umefanyika jana na sijui kuna kifo kipi cha kiongozi wa Taifa kilichotokea.
 
lisu na slaa ni viongozi wasiokuwa na utu kabisa, wana roho ya mbaya sana
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA,Dr.Wilbrod Peter Slaa amewaasa vijana wasomi ambao watafanikiwa kupata madaraka kuepuka rushwa. Dr.Slaa ameyasema hayo leo hii alipohutubia Wasomi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino-Mwanza. Dr.Slaa pia amewaasa vijana wasomi nchini kuwa na maadili katika uongozi wao yatakayowasaidia kuepuka rushwa na vita za kimadaraka.

Maoni yangu:Hongera Dr. Slaa kwa kuliona na kulisemea jambo hilo. Ni kweli vijana wengi wasomi wanapopata madaraka hulewa mapema na kujihusisha na rushwa. Ni vijana hao ambao hutufanya vijana wote kutoaminika kirahisi kutokana na kuboronga kwao.

Vijana wasomi tujirekebishe...
 
hana jipya.
aliyoyasema ni 'business as usually'
huyu babu akapumzke sasa imetosha.
 
Nimewaona ITV wakiwa wanagawa vyeti kwa wanachuo wa SAUT Mwanza ila cjaona wakigawa kadi.
Vp hakuna wanachama waliojiunga na chama? Na vyeti ni vya kupongeza nini? Mtu anaweka cheti chenye signature ya kina Lissu si bora utengeneze chakwako usaini mwenyewe? Hahahaha....
Hebu tuambieni wanaSAUT hamna wanaojiunga na CDM huko chuoni maana cjaona kadi nimeona vyeti. Kama hamna, basi ndo buriani janga CDM.

Mkuu kama unajua hivyo si ni nafuu kwako, sasa kelele ya nini!!!? Hapo bila shaka umepigwa xpen maumivu kwa sana kelele ni lazima.Na nasikia uko kwenye dose ya sindano za masaa mbona kazi unayo!! usipoangalia unaweza kupata reaction hapo ndo itakuwa niagieni.
 
hana jipya.
aliyoyasema ni 'business as usually'
huyu babu akapumzke sasa imetosha.

Hii mada ni ya wasomi vyuo vikuu sasa wewe dada yangu sijui umekurupushwa gest au umefumaniwa na mme wa mtu.hauna elimu yoyote.jaribu kwenda masomo ya jioni kwa wazazi.
 
Hii ni mara ya pili unaandika juu ya mambo ya SAUT.

Mkuu hivi unajua jinsi ya kuandika ili bandiko lako liweze kusomeka vizuri?? Unaboa kwa kifupi.
Maandishi unayabold unabananisha, no paragraph wala nini?? Uko mwaka wa ngapi na unasomee
nini wewe dogo.?? Unachosoma ni level gani cheti, diploma au degree?? You need to change young men..

Mandla.
 
Back
Top Bottom