Picha: Dr. Slaa,Lissu na Suzan Lyimo watikisa SAUT

Picha: Dr. Slaa,Lissu na Suzan Lyimo watikisa SAUT

Kama unashindwa kuandika waombe wenzio wakuandikie wewe ndio u-post,,,

Next time please, sitaki nione huu uchafu..
 
Hii mada ni ya wasomi vyuo vikuu sasa wewe dada yangu sijui umekurupushwa gest au umefumaniwa na mme wa mtu.hauna elimu yoyote.jaribu kwenda masomo ya jioni kwa wazazi.

labda nikusaidie ushauri wa bure female,
kwa uzoefu nilionao kwenye maisha ni hela 2 mama ztakufanya uheshimike na hata hao maprofesa wanaowapiga brush.
elimu n status 2. ila mawe ndo habar ya muji
 
labda nikusaidie ushauri wa bure female,
kwa uzoefu nilionao kwenye maisha ni hela 2 mama ztakufanya uheshimike na hata hao maprofesa wanaowapiga brush.
elimu n status 2. ila mawe ndo habar ya muji

eee MUNGU unisamehe kwa kuhangaika na mtu wa kiwango hiki .
 
labda nikusaidie ushauri wa bure female,
kwa uzoefu nilionao kwenye maisha ni hela 2 mama ztakufanya uheshimike na hata hao maprofesa wanaowapiga brush.
elimu n status 2. ila mawe ndo habar ya muji
Go back to school my sister,to help even your chard. Utabaki kujipitisha jori club hadi lini just money?jitambue shoga lol.
 
Ni kweli kabisa, wasiwe wanatumia hela za ruzuku kwenda holiday Marekani....
 
hana jipya.
aliyoyasema ni 'business as usually'
huyu babu akapumzke sasa imetosha.

Hii mada inawahusu wasomi wanaojitambua,sasa msukule kama wewe unatoka wapi? Kakojoe ulale kigoli!
 
hela ya ruzuku anajikopesha na nyingine anatanulia marekani na josefin,, huo ni ufujaji wa kodi za watanzania dr.slaa ni fisadi
 
kwa kukusaidia tu,hapa SAUT tuna tawi letu na vyeti vinapatikana hapo.cDM ipo imara sana hapa SAUT ikiwa na wanachama kibao,inao wanachama zaidi ya 75 percent ya wanachuo wote.
Mwanza ccm byebye ,tunamsubiri Limbu na Ndasa apate safari yake,kule Ngereja aulize habari yake kwa Tabasamu ,chadema hatubahatishi CHASO peopleeeeeeeeeezzz!
 
Kama unashindwa kuandika waombe wenzio wakuandikie wewe ndio u-post,,,

Next time please, sitaki nione huu uchafu..

Mkuu sio kila mmoja amejifunza kutumia PC,then ndo kazi ya mods kurekebisha pale panapokuwa pamekosewa
 
Nimewaona ITV wakiwa wanagawa vyeti kwa wanachuo wa SAUT Mwanza ila cjaona wakigawa kadi.
Vp hakuna wanachama waliojiunga na chama? Na vyeti ni vya kupongeza nini? Mtu anaweka cheti chenye signature ya kina Lissu si bora utengeneze chakwako usaini mwenyewe? Hahahaha....
Hebu tuambieni wanaSAUT hamna wanaojiunga na CDM huko chuoni maana cjaona kadi nimeona vyeti. Kama hamna, basi ndo buriani janga CDM.

ha ha ha ha haaaa
 
Hivi ni lazima kweli mtu mzima kama wewe upost uchafu wako na kutaka watu wachangie? sasa umepost hoja gani? Yaani ukipatwa na mihemuko tu unajijibu na kujiliwaza kwa kutoa post za kijinga, jirekebishe bwana acha utoto
 
naona imebaki misukule hii michache. nayo muda sio mrefu itazinduka na kujua ulaghai wa hawa jamaa.
attachment.php
 
Back
Top Bottom