Picha: Dr. Slaa,Lissu na Suzan Lyimo watikisa SAUT

Picha: Dr. Slaa,Lissu na Suzan Lyimo watikisa SAUT

Povu la nini? Si uende mahakamani iwapo unahisi mikutano ya CDM inakukera? Sasa unamshitaki nani hapa JF? Au kuna mtu kakuambia hapa Jamii Forums ni mahakamani?

kwanini chadema wanafanya mikutano kipindi hiki cha majonzi?
 
viongozi wa chadema wamejaa roho mbaya. Taifa lina msiba wao wanaendelea na mikutano yao uchwara
Sasa nyie mmezidi. Zito mmemtumia mtakavyo sasa mnamsanifu baada ya kufiwa na mama yake. Kweli CCM ni zaidi ya shetani, kwa hiyo msiba wa mama yake ni wa kitaifa? Hamna shukrani kabisa nyie, pamoja na kazi kubwa aliyofanya kwa niaba yenu kuvuruga upinzani haya ndio malipo mnayompa ya kumkejeli kwenye msiba wake? Nadhani hata yeye mwenyewe sasa hivi anajuta kumtumikia shetani kuwasaliti wazalendo.
 
Asante huyu Mhaya mpuuzi (Abakorakamo- ni misemo ya kihaya). Who is mama yake Zitto in the national political scene! Tutamlilia kama mama yetu na si msiba wa taifa kama huyo mhaya alivyojitangazia nshomile!

we endelea kuwalamba miguu wachaga. Mambo ya wahaya hayakuhusu kenge we
 
Sasa nyie mmezidi. Zito mmemtumia mtakavyo sasa mnamsanifu baada ya kufiwa na mama yake. Kweli CCM ni zaidi ya shetani, kwa hiyo msiba wa mama yake ni wa kitaifa? Hamna shukrani kabisa nyie, pamoja na kazi kubwa aliyofanya kwa niaba yenu kuvuruga upinzani haya ndio malipo mnayompa ya kumkejeli kwenye msiba wake? Nadhani hata yeye mwenyewe sasa hivi anajuta kumtumikia shetani kuwasaliti wazalendo.

mkuu. Hivi bado ben saanane anatembea na sumu?
 
Pointi mzuri tuu za elimu yetu ya sasa....ila Slaa aondoe ndoto ya urais wa awamu ya tano.
Napita tu waungwana
 
we endelea kuwalamba miguu wachaga. Mambo ya wahaya hayakuhusu kenge we

Sijui kwanini mpaka sasa hamjampiga chini Mwanri, Mrema na Technocrats kibao wanao ibeba nchi hii so far ... Akina Nswilo Swai, Imran Kombe et al aliwakosea nini mpaka muwatukane wachagga kiasi hicho?...
 
DSCN4408.JPG
10407290_287344804768502_2283576662664187533_n.jpg

Hii ndo tofauti yao na yetu
 
viongozi wa chadema wamejaa roho mbaya. Taifa lina msiba wao wanaendelea na mikutano yao uchwara
Wakati wa mabomu ya Arusha mbona zzk hakupumzika wala kutuma salamu za pole!? Au wale hawakuwa binadamu ila binadamu ni mama yake!?
 
Nimewaona ITV wakiwa wanagawa vyeti kwa wanachuo wa SAUT Mwanza ila cjaona wakigawa kadi.
Vp hakuna wanachama waliojiunga na chama? Na vyeti ni vya kupongeza nini? Mtu anaweka cheti chenye signature ya kina Lissu si bora utengeneze chakwako usaini mwenyewe? Hahahaha....
Hebu tuambieni wanaSAUT hamna wanaojiunga na CDM huko chuoni maana cjaona kadi nimeona vyeti. Kama hamna, basi ndo buriani janga CDM.
 
Watu wa kanda ya ziwa na magharibu mwa Tanganyika wote wanajitambua kosoro abakorakamo ndo amebaki kuwa mzigo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom