PICHA; Dr, Slaa, Jose Manuel Barroso & Makinda@ CCBRT

PICHA; Dr, Slaa, Jose Manuel Barroso & Makinda@ CCBRT

Kiganyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
1,242
Reaction score
765



[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"] Spika wa Bunge la Tanzania ambaye pia ni mlezi wa Hospitali ya CCBRT Mhe. Anne Makinda akisalimiana na Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya Mhe. Jose Manuel Barroso alipowasili Hospitalini hapo jana kujionea shughuli za Hospitali hiyo. Serikali ya Tanzania na Umoja wa Ulaya umekuwa ukiichangia fedha nyingi hospitali hiyo.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Rais Barosso akisaini kitabu cha wageni.
Wagonjwa waliotibiwa na kupona fistula.


Mpango wa Upanuzi wa Hospitali ya CCBRT
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"] Watoto Dema Emmanuel (6) na Goodson George (16) wakimkabidhi mgeni rasmi zawadi ya ‘gari’[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Mkurugenzi wa Huduma za Jamii wa CCBRT, Brenda Msangi akimuelezea jambo Rais wa Kamisheni ya Ulaya
Spika wa Bunge mama Anne Makinda na uongozi wa CCBRT Wakimuaga kiongozi huyo.

Picha ya pamoja
 
naona 2015 ni mbali mno, Dr. kwanini usichukue maamuzi mazito? watamaliza kila kitu hawa mafisadi.
 
Mbona madokta wa ccbrt hawagomi au kwa sababu ni wa Chama chetu cdm.? Si vizuri cdm kuwahujumu watz tujipange upya. Kuna mtu wa Chama cha magamba kava kule singed hat a sio issue. Ila ya ulimboka ni issue why? Ulimboka go go go ,,,,,.
 
nasikia utamuuuuuuuuuuuuuuuuuu nikimwona DR SLAA nikimwona rais mtarajiwa yani mzuka unapanda mzuka unashuka
 
Spika inaonekana hawezi kupasua mayai Dr. Slaa anaongea yeye anaitia yes yes sir!
 
l.JPG
 
Back
Top Bottom