PICHA: Dr Shika kwenye kampeni za CCM leo

PICHA: Dr Shika kwenye kampeni za CCM leo

Hivi huyu tunamwita docta docta aliwahi kutibu wapi?? na siku zote alizokuwa amefulia alikosa hata ka dispesari akafunge hata vidonda??
 
Ukitaka laana ya Mungu ikuangukie jiambatanishe na ccm , huyu atatumika kama ndondocha halafu baada ya uchaguzi atabwagwa , ccm haijawahi kuwa na rafiki .
Huu ni mpango ulioandaliwa na watu wanaotumia taaluma na akili zao vibaya.
 
Ukitaka laana ya Mungu ikuangukie jiambatanishe na ccm , huyu atatumika kama ndondocha halafu baada ya uchaguzi atabwagwa , ccm haijawahi kuwa na rafiki .
Si unakumbuka kina Bongo movie walitumika hadi wengine kugawa K kina madalaka ya kulevya kuwa kuhisi wataambulia hata viti maalumu, unaonaje walivyoachwa solemba na wengine kama kila Ray watu waliahidi hawatakaa wanunue kazi zao tena juu ya usaliti. sasa wanalalamika mchawi kumbe hasira za watu na wao kujiona ni serikali mpya ijayo. watu tumewashit kama karatasi la chooni
 
MZEE ameanza kujipunguzia heshima kujihusisha na masuala ya siasa angekaa pembeni Na siasa.
 
Unajua watanzania kuna vitu huwa hatujui na tunashabikia kitu pasipo kujua wala kuchuja. Huyu Shika ambaye leo anaonekana bomba au kifaa. Wakati hao hao ccm walimkamata na kumweka ndani kwa kosa ya utapeli. Na aliongea yote hayo ni mkuu wa polisi wa dar. Na kwenye mnada wenyewe waliemwangalia mwenye akili timamu aliyemwona Shika ni kama mtu ambaye hana akili timamu. Leo hao hao ccm wanaendelea kuzidi kutudanganya na kutuaminisha kuwa Shika ni mtu sahihi mwenye uwezo wa kuaminisha wananchi ili waichague ccm. Hapa ndio mjue kuwa ccm wao wanachojali ni madaraka hawajali anaeleta ushindi ni kichaa au mzima. Haya ndio matokeo ya watanzania kuzidi kuwa maskini. Kinachotakiwa ccm wawaleze watanzania ukweli na wawe wakweli na kitu ambacho hakipo ktk ccm. WATANZANIA amkeni achaneni na ccm uongo mwingi wao wanachotaka ni kututawala hawajali kwa njia gani halali au haramu
Siasa haina adui wa kudumu mkuu au hukuelewa maneno ya mwenyekiti mkuu?
Leo mtu anaweza itwa kichaa kama ilivyokuwa kwa shika kesho akapandishwa jukwaani akaitwa mwerevu.
Leo huyu anaweza itwa fisadi kesho akawa mgombea.
Usimuamini mwanasiasa hata kwa kumtania mwanasiasa ni opportunist mara zote
 
Apa ndo pale utakaposikia mzaz anamwambia mwanawe ili awe rubani lazima alale ktk chandarua chenye dawa!!pyuuuuuuuuuu!!!!
 
Back
Top Bottom