PICHA: Dr Shika kwenye kampeni za CCM leo

PICHA: Dr Shika kwenye kampeni za CCM leo

hiram

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
266
Reaction score
393
DR LOUIS SHIKA leo alitembelea ktk mkutano wa kufunga kampeni za udiwani kata ya Mhandu. Shika amesema kuwa CCM ikishinda kata zote 43 ITAPENDEZA Zaidi.

[HASHTAG]#Note[/HASHTAG] Pembeni yake ni aliyekuwa katibu wa Chadema mkoa wa Mwanza aliyehamia CCM Comrade John Nzwalile.

Magoiga SN
ccm1.jpg
ccm2.jpg
 
Sawa bana maisha ni kuchagua kila mtu hufanya kile aonacho ni sahihi kwake kwa mda ule
 
DR LOUIS SHIKA leo alitembelea ktk mkutano wa kufunga kampeni za udiwani kata ya Mhandu. Shika amesema kuwa CCM ikishinda kata zote 43 ITAPENDEZA Zaidi.

[HASHTAG]#Note[/HASHTAG] Pembeni yake ni aliyekuwa katibu wa Chadema mkoa wa Mwanza aliyehamia CCM Comrade John Nzwalile.

Magoiga SN
View attachment 637785 View attachment 637786
Unajua watanzania kuna vitu huwa hatujui na tunashabikia kitu pasipo kujua wala kuchuja. Huyu Shika ambaye leo anaonekana bomba au kifaa. Wakati hao hao ccm walimkamata na kumweka ndani kwa kosa ya utapeli. Na aliongea yote hayo ni mkuu wa polisi wa dar. Na kwenye mnada wenyewe waliemwangalia mwenye akili timamu aliyemwona Shika ni kama mtu ambaye hana akili timamu. Leo hao hao ccm wanaendelea kuzidi kutudanganya na kutuaminisha kuwa Shika ni mtu sahihi mwenye uwezo wa kuaminisha wananchi ili waichague ccm. Hapa ndio mjue kuwa ccm wao wanachojali ni madaraka hawajali anaeleta ushindi ni kichaa au mzima. Haya ndio matokeo ya watanzania kuzidi kuwa maskini. Kinachotakiwa ccm wawaleze watanzania ukweli na wawe wakweli na kitu ambacho hakipo ktk ccm. WATANZANIA amkeni achaneni na ccm uongo mwingi wao wanachotaka ni kututawala hawajali kwa njia gani halali au haramu
 
Huwa sionagi umuhimu wa flani kuwepo au kunishawishi kupiga kura.
Mfano Obama awe kampeni meneja wa mrema, iyo itahusianage na mimi kumchagua Mtema!
Au papa amnadi Naibu spika wa bunge, iyo inawezaje kubadilisha mawazo nikamchagua!?
 
Back
Top Bottom