Picha: DK. Slaa aivuruga CCM Ruvuma

We lo.fa kabisa watu wamevaa Tshirt zimeandikwa M4C we unasema picha za 2010.We kweli DIVISION 5 za Mulugo.2010 kulikuwa na M4C??????Poor you
Mulugo kaondoka na div. 5 zake huyu sijui anasubiri nini huku.
 
Unaonekana dhahiri unatumika vibaya na macdm, umekunywa sumu ya m4c hadi ukaathrika ubongo. Endelea kushabikia kwenye hamna, aibu kuu inakuja 2015. Siasa za kujaza watu mkutanoni halafu ukavimba kichwa kuwa nakubalika hazitoi taswira sahihi. Muulize Mrema na Mtikira hawa waliwahi kujaza watu misili ya sisimizi, Mwisho wa siku chali.
 

Mkuu umevurugwa!
 
Hili Chopa la CHADEMA ni la Kisasa sana aisee



 
MAKAMANDA nikiangalia hiz snaps machoz yananilenga lenga makamanda, siamini kama kweli ukomboz wa mnyonge wa Tanzania ndo umekuja mapema kias hiki, pipoooooooz, hamna noma wala nini yani, PAMOKO dAIMA Makamanda!!
 
We tunawahadaa we subiri tu kofa mtakalofanya ni kuboresha daftari lå wapiga kura Mimi nilikuwepo kwenye mkutano Huo
 
Wana wa Songea hongereni kwa kujitambua na kukataa kutumika ukombozi ni sasa
 
Duu CDM mtaahangaika sana mwaka huu kila kukicha kauli mbiu sawa sasa bado Tanzania Daima!

Mtakuja kujutia matokeo yake 2015 na lazima muangukie puwa mwaka huu! Malizieni hela zetu za ruzuku hizo ofisi zenu hata pen hamna!

huna jopya, kojoa ulale.
 
naona hawa wa mbamba bay walikuja kushangaa ndege ya babu, kazi bado ni ngumu si rahisi kama unavyoonyesha kwenye kichwa cha habari mkuu! si vibaya kuwa na matumaini makubwa hata kama unajua kuwa utapata kidogo
 
chadema daima tutashinda tuu ccm imeshakufa maziko 2015
 
Peoplessssssssssssss ........................... RIP CCM............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…