Pendael6410 Senior Member Joined Oct 18, 2012 Posts 154 Reaction score 214 Jan 22, 2014 #61 Chadema bwana, yaan mi siachi kuwapenda! Sasa maccm yanaharisha kwa hofu....go Slaa...---- em
utaifakwanza JF-Expert Member Joined Feb 1, 2013 Posts 14,193 Reaction score 2,815 Jan 22, 2014 #62 Kigogo said: we pimbi kweli..2010 msigwa alikuwepo kwenye kamoeni za Dr.Slaa au unajifurahisha tu ?mnadhani hizi ni zile kampeni zenu za kula wali na maharage Click to expand... Wewe ni msukule wa ufipa.na bado, Utatumika sana.
Kigogo said: we pimbi kweli..2010 msigwa alikuwepo kwenye kamoeni za Dr.Slaa au unajifurahisha tu ?mnadhani hizi ni zile kampeni zenu za kula wali na maharage Click to expand... Wewe ni msukule wa ufipa.na bado, Utatumika sana.
Bramo JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 13,230 Reaction score 10,201 Jan 22, 2014 #63 utaifakwanza said: Ameenda kutangaza uhalalishaji wa gongo Click to expand... Unahangaika sana. Watu tumeamua kukupuuza. Tuko busy na kutoa Elimu ya Uraia na kuhakikisha tunayapeleka Magamba Morgue.
utaifakwanza said: Ameenda kutangaza uhalalishaji wa gongo Click to expand... Unahangaika sana. Watu tumeamua kukupuuza. Tuko busy na kutoa Elimu ya Uraia na kuhakikisha tunayapeleka Magamba Morgue.
utaifakwanza JF-Expert Member Joined Feb 1, 2013 Posts 14,193 Reaction score 2,815 Jan 22, 2014 #64 Bramo said: Unahangaika sana. Watu tumeamua kukupuuza. Tuko busy na kutoa Elimu ya Uraia na kuhakikisha tunayapeleka Magamba Morgue. Click to expand... Sisi ndio tumempuuza huyu anaetaka kuhalalisha gongo atuharibie nguvu kazi ya taifa
Bramo said: Unahangaika sana. Watu tumeamua kukupuuza. Tuko busy na kutoa Elimu ya Uraia na kuhakikisha tunayapeleka Magamba Morgue. Click to expand... Sisi ndio tumempuuza huyu anaetaka kuhalalisha gongo atuharibie nguvu kazi ya taifa
A amanyy Senior Member Joined Nov 23, 2013 Posts 106 Reaction score 11 Jan 22, 2014 #65 kilambalambila said: huyu mzee amezeeka sana basi tu ni kig'ang'anizi wa siasa au labda chama ni cha jamii yake. Nadhan 2015 ndo mgombea urais wa cdm! Click to expand... ulitaka awe mjomba wako au kibaraka wa maccm zitto?
kilambalambila said: huyu mzee amezeeka sana basi tu ni kig'ang'anizi wa siasa au labda chama ni cha jamii yake. Nadhan 2015 ndo mgombea urais wa cdm! Click to expand... ulitaka awe mjomba wako au kibaraka wa maccm zitto?
C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,361 Reaction score 6,441 Jan 22, 2014 #66 kilambalambila said: huyu mzee amezeeka sana basi tu ni kig'ang'anizi wa siasa au labda chama ni cha jamii yake. Nadhan 2015 ndo mgombea urais wa cdm! Click to expand... Andika kwa nguvu ya hoja,
kilambalambila said: huyu mzee amezeeka sana basi tu ni kig'ang'anizi wa siasa au labda chama ni cha jamii yake. Nadhan 2015 ndo mgombea urais wa cdm! Click to expand... Andika kwa nguvu ya hoja,
KYAMTUNDU JF-Expert Member Joined Mar 7, 2013 Posts 1,820 Reaction score 295 Jan 22, 2014 #67 kilambalambila said: huyu mzee amezeeka sana basi tu ni kig'ang'anizi wa siasa au labda chama ni cha jamii yake. Nadhan 2015 ndo mgombea urais wa cdm! Click to expand... Kuhusu mgombea Urais, ulitaka tuweke mafisadi kama wale wa chama cha magamba??!
kilambalambila said: huyu mzee amezeeka sana basi tu ni kig'ang'anizi wa siasa au labda chama ni cha jamii yake. Nadhan 2015 ndo mgombea urais wa cdm! Click to expand... Kuhusu mgombea Urais, ulitaka tuweke mafisadi kama wale wa chama cha magamba??!
Wakashina Senior Member Joined Jan 12, 2014 Posts 134 Reaction score 23 Jan 22, 2014 #68 M4C Pamoja daima
I IKWETE JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 4,057 Reaction score 696 Jan 22, 2014 #69 Chadema inatwanga kote kote
KYAMTUNDU JF-Expert Member Joined Mar 7, 2013 Posts 1,820 Reaction score 295 Jan 22, 2014 #70 Jamani wataalamu wa picha kutoka chama cha magamba twambiaeni kama hizo picha ni za mwaka 2010!!! Heko CHADEMA yetu
Jamani wataalamu wa picha kutoka chama cha magamba twambiaeni kama hizo picha ni za mwaka 2010!!! Heko CHADEMA yetu
Mjomba Mkude JF-Expert Member Joined Nov 21, 2013 Posts 287 Reaction score 119 Jan 22, 2014 #71 ..haki ya Mungu haka Kababu mwaka huu watakakoma..,kanawatia adabu balaa
I ISRAELI ELISHA ELIYA Member Joined Jan 8, 2014 Posts 37 Reaction score 3 Jan 22, 2014 #72 Hamakweli chadema ni msingi
samirnasri JF-Expert Member Joined Nov 8, 2010 Posts 1,388 Reaction score 215 Jan 22, 2014 #73 2015 patachimbika tu
LOOOK JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 3,468 Reaction score 814 Jan 22, 2014 #74 Mwita Maranya said: M4C Pamoja Daima ndiyo habari ya mujini. Nchimbi, Mhagama, na Komba mtaisoma namba. Click to expand... Chadema mnahaha.o
Mwita Maranya said: M4C Pamoja Daima ndiyo habari ya mujini. Nchimbi, Mhagama, na Komba mtaisoma namba. Click to expand... Chadema mnahaha.o
Leomimi JF-Expert Member Joined May 20, 2013 Posts 2,547 Reaction score 874 Jan 22, 2014 #75 Hazistui picha za miaka mingi iliyopita tafuteni uongo mpya huo umepitwa na wakati
Hakikwanza JF-Expert Member Joined Dec 11, 2010 Posts 4,043 Reaction score 1,012 Jan 22, 2014 #76 CHADEMA jamani mwendo mudundo sana mwepesi sijui anajisikiaje?
Hakikwanza JF-Expert Member Joined Dec 11, 2010 Posts 4,043 Reaction score 1,012 Jan 22, 2014 #77 Lumumba FC vipi?
Chinga One JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 11,493 Reaction score 12,455 Jan 22, 2014 #78 jamani jamani hivi kweli ccm ndo inaenda kufariki hivi hivi duuh.
georgeallen JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 4,120 Reaction score 1,881 Jan 22, 2014 #79 Elizabeth Dominic said: Safi sana hiki ndicho tunachohitaji Click to expand... Bahati mbaya sana hakuna mpiga kura hata mmoja hapo-aidha hawana kadi au zeal ya kupiga kura
Elizabeth Dominic said: Safi sana hiki ndicho tunachohitaji Click to expand... Bahati mbaya sana hakuna mpiga kura hata mmoja hapo-aidha hawana kadi au zeal ya kupiga kura
E emmaisaac Senior Member Joined Oct 16, 2013 Posts 107 Reaction score 8 Jan 22, 2014 #80 CCM kafieni mbele