Ombi kwa DR.Slaa na Chadema,baada ya 2015 rudisheni mali zote za umma kama viwanja na majengo walioyapora ccm na kuwachukulia hatua kali mafisadi wote kuanzia na ile list of shame ya Mwembeyanga.
Mama aliniambia nisifurahi wakati adui yangu akipata taabu.Leo nimeamua kuachana na huo ushauri wa Bi mkubwa na ninafurahia jinsi CCM wanapata tabu.Wanaumizwa sana na upepo wa Chadema.Mama nisamehe kwa hili lazima nifurahi.