Picha: DK. Slaa aivuruga CCM Ruvuma

Picha: DK. Slaa aivuruga CCM Ruvuma

Mzito Kabwela

Platinum Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
18,904
Reaction score
7,746
Kwa hisani ya Mzito Kabwela
SONGEA 22/01/2014


1015935_624852284228755_1605859244_o.jpg

1506079_624967304217253_305931812_o.jpg


1540550_624967197550597_1192231311_o.jpg


1540550_624967197550597_1192231311_o.jpg


MBINGA 22/01/2014

1606417_624959750884675_178373250_o.jpg


1596935_624945294219454_1322705168_o.jpg


1493408_624891440891506_540323473_o.jpg


MBAMBA BAY 22/01/2014



1493352_624879004226083_707136898_o.jpg
 
huyu mzee amezeeka sana basi tu ni kig'ang'anizi wa siasa au labda chama ni cha jamii yake. Nadhan 2015 ndo mgombea urais wa cdm!
 
jamani chadema hamuiachi ccm ipumue kila kukicha operation mpya mtaua watu kwa presha wenyewe wapo kwenye honeymoon za mawaziri nyie mnaanzisha operation nawashauri muache tuu hizi operation mtaishia jela kwa kusababisha vifo vitokanavyo na BP...
 
'mungu ibariki chadema na wanachama wake wote',

'mungu ibariki tanzania'.
 
Bonge la mvua mkutano wa dr. Slaa songea mkoani ruvuma kwenye viwanja vya s/m matarawe lakini wananchi wanakomaa.
 
Ama kweli chadema inafukuza wezi.,ccm wanajihisi bariiidi na hasira juu."watataga".
 
Vizur sana Mamluki sa hiv wanajichekesha wenyewe huko lumumba!
 
Kwa hisani ya Mzito Kabwela
SONGEA 22/01/2014


1015935_624852284228755_1605859244_o.jpg

1506079_624967304217253_305931812_o.jpg


1540550_624967197550597_1192231311_o.jpg


1540550_624967197550597_1192231311_o.jpg


MBINGA 22/01/2014

1606417_624959750884675_178373250_o.jpg


1596935_624945294219454_1322705168_o.jpg


1493408_624891440891506_540323473_o.jpg


MBAMBA BAY 22/01/2014



1493352_624879004226083_707136898_o.jpg

Hakika mungu atakuwa na wanyoge ambao wamenyanyaswa kiasi cha kutosha, wameonewa kiasi cha kutosha, wamepuuzwa kiasi cha kutosha, wamebaguliwa kiasi cha kutosha, wamedanganywa kiasi cha kutosha na sasa wanataka kukombolewa na tumaini kumbwa la ukombozi huu liko mikononi mwa makamanda kama daktar wa falsafa wa ukweli W. P. Slaa
 
Picha za mwaka 2010 zinatumika leo kuhadaa watz mitandaoni na kwenye media
 
Twende kazini mkuu waache wenye maneno waseme sana ila kazi mbele kwa mbele

Uongozi usibadilike, system ikae kama ilivyo !!
 
M4C Pamoja Daima ndiyo habari ya mujini. Nchimbi, Mhagama, na Komba mtaisoma namba.
 
Back
Top Bottom