Picha: Devis Mosha atumia Helkopta kura za Maoni

Picha: Devis Mosha atumia Helkopta kura za Maoni

Hata angetumia meli ccm mwaka huu mtaondoka kama alivyoondoka firauni.
 
bowlibo;
Huyo ni ccm hawezi kuchafua mji, anaruhusiwa huyo, ni mwenzetu, tena wa kile chama chetu chenye wenyewe naye naona anaonesha kuwa naye yumo kwenye orodha.
Kama ana nguvu, Jafari Michael, aamuru vijana wa Manisipaa wamshike kwa kuchafua mji uone ka Nape hajafika Moshi. Fweza ndugu haisemi uongo. Hicho ni kibwagizo tu, ngoja apitishwe uone ka hamjanywa maji kwa ukucha wa kuku. Masikini ccm yangu, inajifia yenyewe

Chama cha wapigaji na majizi ya rasilimali za taifa, keki ya wote wanaigawana wenyewe
 
Hapa hawawezi kuchangia akina Lizaboni ila Lowasa keleleeeee
 
Back
Top Bottom