Picha: Devis Mosha atumia Helkopta kura za Maoni

Picha: Devis Mosha atumia Helkopta kura za Maoni

Bm_boy

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
547
Reaction score
348
Ikiwa imebaki siku moja kufanyika kura za maoni katika jimbo la moshi mjini Moja ya wagombea kupitia chama cha mapinduzi..

Devic Mosha ameamua kuzunguka na Helkopta jimbo zima la moshi mjini huku akimwaga vipeperushi mji mzima wa moshi.

Devis Mosha ni moja kati ya wagombea 12 wanaowania nafasi hiyo kupitia ccm huku akiwa na upinzani mkali kutoka muwania mwenzake Boisafi. Ambae anaushawishi mkubwa.

1438335114392.jpg
1438335149737.jpg
1438335181919.jpg
1438335114392.jpg
1438335114392.jpg
 
Huyu jamaa angegombea kinondoni banah..moshi anapoteza muda.
 
Huyu jamaa angegombea kinondoni banah..moshi anapoteza muda.

Sifa za kugombea Kinondoni azitoe wapi?
Hata Moshi Mjini ni shaka kubwa sana kuwepo watia nia kama hao. Moshi Mjini kama mpo serious tafuteni mtia nia safi ili aweze kujaribu bahati yake kwa Ukawa October.
 
Hizi story kuwa ukitupa Takataka barabarani nje na shimo.la taka huko Moshi unalipa faini ni za kweli?
 
Anajisumbua tu moshi watu wanataka mabadiliko na wameyaona kwa ndesa na ndesa amemwachia jaffari ni mtu mchapakazi Leo hii utaona mji Wa moshi unamaendeleo jaffari kama meya amefanya mengi yeye ajisumbue tu ccm huu ndio mwisho wao
 
Anachekesha huyo
wewe ndio unachekesha sana, mwenzako anatimiza haki yake ya kuchaguliwa wewe unajichekesha hapo, shauri yako, utaendelea kuona wenzako wanachekesha kumbe wewe ndio unachekesha.
 
Akija na ile Lambogin yake nayo mtaendela kulia lia...
huyu jamaa kwanza anachukia umasikini kwahiyo
hiyo helkopta ni kama anapanda mgongo wa chura kwenda mjini
936486_4900434678957_304882341_n.jpg
delina2.jpg

attachment.php
 
Masikini, awalaumu walioleta vyama vingi maana kama ingelikuwa ccm pekee angeliweza kuununua huo ubunge kwa besa alizo nazo!
 
Masikini, awalaumu walioleta vyama vingi maana kama ingelikuwa ccm pekee angeliweza kuununua huo ubunge kwa besa alizo nazo!

Wengi wanaweza kushangaa kwanini jamaa anataka ubunge wakati ana kila kitu hasa utajiri na umaarufu ......
Lakini kanuni za binadamu ziko hivi
Kwanza unatafuta mahitaji ya lazima
Kisha unatafuta ziada(utajiri)
Halafu unatafuta umaarufu/kujulikana (kutoa michango/misaada kwenye kada mbalimbali, kuandikwa andikwa na vyombo vya habari nk
Kishapo heshima, mamlaka na utukufu
Sasa jamaa yuko hiyo hatua ya mwisho, baada ya hapo hakuna ziada
 
Huu pia ni uongo na unatumiwa tu na wale wanaofanya kampeni mitandaoni. CCm kwenye hizi kampeni watia nia wote wanakwenda kwa usafiri wa pamoja na kufanya kampeni pamoja. Yeye atatumiaje helikopta peke yake na anaongozwa na nani kama msimamizi wa kampeni hizo?
 
Hana jipya devis Mosha, Boisafi mpango mzima moshi, na kesho tunamuwajibisha devis kwa siasa chafu!!! Boisafi oyeeeeeeer
 

Attachments

  • 1438339732099.jpg
    1438339732099.jpg
    51.7 KB · Views: 601
  • 1438339758399.jpg
    1438339758399.jpg
    66.7 KB · Views: 573
Back
Top Bottom