PIcha: Couples za wana JF kama nilivyozinasa katika mafaili ya Baba V....!!!

couple-on-date-PF.jpg
hubby Asprin kam this way. nimekutamani ghafla baada ya kukuta Mtambuzi kaamua kutuanika huku! mi luv u sugar hubby! mwahhhhhhhhh!

Nakuja mke wa ujana wangu. Ila nihakikishie kama umeniwekea limbwata nililokuletea jana. sitaki kutamani vibinti vingine wakati joto lako lantosha mie mtoto wa mwanamke mwenzio.
 
Last edited by a moderator:
Heee Mtambuzi.. Hii picha ya Asprin ni ya enzi ya ujana wake..?

Hapo nilikuwa mtumishi wa shirika la reli na iliyokuwa jumuiya ya Afrika Mashariki. Nilikuwa kiongozh. wa madereva wa treni. My luv cacico alikuwa mwalimu wa kiinglish pale Mtakuja praimare skul. Ye alikuwa amespesholaiz kiinglish cha darasa la nane.
 
Last edited by a moderator:
Sasa Mtambuzi unaanza kutuonesha maajabu kama ya MziziMkavu

You are of a higher caliber in JF. Achana na kupoteza muda na mambo ya alinacha.
 
Ha ha ha.. Naona kilichomfanya cacico achanganyikiwe kwako aliposikia unaendeshaga matreni lol..
 
FaizaFoxy hivi unajua kwamba udhati (Seriousness) unasababisha stress?
pamoja na kunipa huo ujiko kwamba mimi ni higher caliber hapa JF, lakini hilo halinizuii kufurahisha hisia zangu kwa kuwashirikisha wengine katika kila ninachokiwaza japo kinawezekana kuwa ni cha kipumbavu.

Naomba ukubaliane na mimi kwamba mimi ni binadamu na nina mapungufu yangu kama binadamu wengine, naogopa sana kujiweka katika nafasi ya malaika kwa sababu huwa ninakosea..........

Samahani kama nimekukwaza lakini nadhani nina haki ya kuweka huru mawazo yangu hata kama wapo ambao hawafurahi.
 
Chezea kuendesha kitu lisilosimamishwa na trafiki? Afu hata likigonga, aliyegongwa ndo mwenye makosa siku zote.
 
Last edited by a moderator:
FaizaFoxy hivi unajua kwamba udhati (Seriousness) unasababisha stress?
pamoja na kunipa huo ujiko kwamba mimi ni higher caliber hapa JF, lakini hilo halinizuii kufurahisha hisia zangu kwa kuwashirikisha wengine katika kila ninachokiwaza japo kinawezekana kuwa ni cha kipumbavu.

Naomba ukubaliane na mimi kwamba mimi ni binadamu na nina mapungufu yangu kama binadamu wengine, naogopa sana kujiweka katika nafasi ya malaika kwa sababu huwa ninakosea..........

Samahani kama nimekukwaza lakini nadhani nina haki ya kuweka huru mawazo yangu hata kama wapo ambao hawafurahi.

Endelea kutupa mambo kiongozi. Ameshakuelewa. Afu ile Govinder Kumar haijakaribia kueksipaya?
 
FaizaFoxy hivi unajua kwamba udhati (Seriousness) unasababisha stress?
pamoja na kunipa huo ujiko kwamba mimi ni higher caliber hapa JF, lakini hilo halinizuii kufurahisha hisia zangu kwa kuwashirikisha wengine katika kila ninachokiwaza japo kinawezekana kuwa ni cha kipumbavu.

Naomba ukubaliane na mimi kwamba mimi ni binadamu na nina mapungufu yangu kama binadamu wengine, naogopa sana kujiweka katika nafasi ya malaika kwa sababu huwa ninakosea..........

Samahani kama nimekukwaza lakini nadhani nina haki ya kuweka huru mawazo yangu hata kama wapo ambao hawafurahi.

Pole sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom