alexander paulo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 492
- 155
kwanza zote ni picha,pili naona msigwa anaongea kwa uchungu sana pale anapoona tembo wanapotea wakat kinana anawashangaa watu waliopo pale wakati ukwel anaujua wa ufisad, nne namwona mwanamziki mashuhuri sana apa tz na kumpata huyo mwanamziki yakubidi uwe na zaidi ya million 10 wakat kwengine siwaon wanamziki zaidi ya pipo,tano naona kijan nying na watoto wengi wakat mwanza naona jez tofaut na hakuna watotohapo vipi?
kinana vs wananchi waliopewa buku buku za vocha!
kinana: ndugu wananchi tumewaletea wasanii wengi sana je CHADEMA wanaletaga?
wananchi:hawaletagi!
kinana: ccm oyeeee!
wananchi😱yeeeee
kinana: kidumu chama cha mapinduz
wananchi:kidumu chama tawala
kinana;ccm imewaleta marais wa china ,marekan, je CHADEMA wamemleta nani?
wananchi:hawajaleta yeyote!
kinana: ccm oyeeee!
wananchi😱yeeeee
kinana:ndugu wananchi rais ni handsome au sio handsome
wananchi:handsome!
kinana: ccm oyeeee!
wananchi😱yeeeee
Pamoja na usanii na unazi tulioufikiria wa wana-Morogoro kwa CCM, bado hawakujitokeza wengi kama tulivyokuwa tunaaminishwa hapa jukwani. Kweli kuona ni kuamini! Kumbe Picha inasema sana! Mbele mbele kwa mbele mpaka kieleweke. Saa ya Ukombozi imewadia, Mama Makinda kaa kando!
samahani kwa kuquote picha na usumbufu wake bali nilitaka kujua yafuatayo:hapo vipi?
tofaut nayoona ni kua wengi ktk mkutano wa mz ni raia wa kawaida na wako makin kuskiza kinachoongelewa na pia wamevutwa na si kingine bali matakwa yao ya kusikiliza kinachosemwa iwe kwa kuwaunga mkono au vinginevyo akat huo wa moro asilimia kubwa ni wanifaika na raia wachache wamevutwa na Diamond.
mtazamo wangu
hapo vipi?
http://4.bp.blogspot.com/-7lPE_Qq6axA/UXPtx6VvncI/AAAAAAAAaSI/7_ACGkKcAvs/s1600
/4.DIAMOND+AKIWA+AMEBEBWA+NA+WASANII+WAKE.jpg
CCM kwa kupenda "ULUSINDE" = MATUSI. Hebu ona huyo msanii suruali yake "KATA K" mbele ya watoto!! Hawa watoto wakikua na kuwa Wabunge wa CCM si nao watavaa "Kata K" bungeni??Mkuu Kibanga!
Hapa umeua kabisa mkuu. Yaani licha ya TBCCM&TBC Radio/ATV&AR na ABOOD BUS kusomba watu, na kupiga kambi siku 8 mkoani Morogoro, Wasanii, Matusi na mambo mengine, watu walio hudhuria ndio wale? Lazima MAGAMBA wakauane Lumumba mwaka huu.
2015 MAGAMBA chali. Hata wang'oe watu kucha na macho, imekula kwao.
Chama kinachounda serikali ambacho kimeshindwa kuwasemea hata wanafunzi waliofeli kwa kiwango cha kutisha...inatumia masaa kadhaa kushambulia CHADEMA ambayo kila siku inasikika ikizungumzia hoja za maendeleo ya watu wa nchi hii.
Kweli, when God wants to destroy u, he makes u blind. CCM ni sikio la kufa.
Ndiyo maana Wasukuma husema, kwigwa kwa mbulu, mpaka mininga mugoto, kusikia kwa kenge hadi damu sikioni.