MwanaDiwani
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 5,536
- 2,268
Hujui kama picha ina angle mbili. jinsi unavyowaonea huruma ndivyo nao wanavyokuonea huruma.hahaha yaani wangejua MADINI yao yanaibiwa kiulaini na UMASKINI wetu unapandishwa Nawaonea Huruma kwa kutojitambua na kutofahamu behind the scene..
A Picture Speaks a Thousand Words...Hapa walikuwa wanaitikia "Lewaaaaaaa"
Kibwagizo cha Diamond cha "nataka kulewa"
Concert ilifana sana aisee
kwani na yeye alitolewa bungeni?hivi katibu mkuu wa chadema alikuwepo mwanza?
Ukweli lazima usemwe na upo mioyoni mwa watu, CHADEMA wamefunika mbaya.atakayesema hawajafunika huyo anatizama kwa kutumia ------.Viva CHADEMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Tunaposema CCM wamepoteza mvuto huwa tunamaanisha kuwa bila hayo madikodiko ya wanamuziki, kusafirisha makutano/wajumbe, kuwapa sare na kuwapa fedha hawaoni mtu kwenye mikutano yao. Kukusanya watu bila kuwa na hoja ya msingi zaidi ya kuwadanganya, mara nying huishia kupata watu wasiojua wanataka nini.Kwani hii yote miwili ilikuwa mikutano ya siasa? maana naona mwingine kama ulikuwa mkutano wa siasa na lingine tamasha la wanamuziki.
Ukiangalia picha utakuta wazungumzaji wa upande mmoja wa wanaongea kitu kwa hisia na wasikilizaji wanaonyesha ni watu wazima wanaonekana kusikiriza na kushirikisha akili zao kwa yale yanayozungumzwa. wakati picha za kijani inaonekana watu watoamaada wakijaribu kuwafurahisha watoto ambao ni wahongwa watarajiwa
Watanzania ni asili yetu kujazana kwenye mikutano,ni katika starehe zetu. Msema kweli ni sanduku la kura.
kinana vs wananchi waliopewa buku buku za vocha!
kinana: ndugu wananchi tumewaletea wasanii wengi sana je CHADEMA wanaletaga?
wananchi:hawaletagi!
kinana: ccm oyeeee!
wananchi😱yeeeee
kinana: kidumu chama cha mapinduz
wananchi:kidumu chama tawala
kinana;ccm imewaleta marais wa china ,marekan, je CHADEMA wamemleta nani?
wananchi:hawajaleta yeyote!
kinana: ccm oyeeee!
wananchi😱yeeeee
kinana:ndugu wananchi rais ni handsome au sio handsome
wananchi:handsome!
kinana: ccm oyeeee!
wananchi😱yeeeee
mkuu nakubaliana na wewe hiyo ni picha ya morogoro iliyopigwa kwa kwa level ya chini ili kupata taswir ya umati mkubwa sana, asiyejua mambo ya kamera anaweza akashtuka nakudhani ndo hali halisi na kumbe ni camera twist tuHakuna cha propaganda hapa. CCM hakuna propaganda ndiyo maana kulikuwa kuna matangazo ya television na radio.
CCM haihitaji wakina thomaso wa kwenye biblia.
dah mwenye macho haambiwi tazama!! Chadema wanatisha ile mbaya usipime