Hivi Chadema mna nini? Mbona Dar hamji? Mmetunyima haki yetu ya kikatiba ya kuandamana kupinga chama na serikali kandamizi? Chonde chonde, njoo dar es salaam, tuikomboe nchi yetu, huku ndiyo kila kitu, Misri, Tunisia na Yemen wamekombolewa kutoka miji yao mikuu, ona Syria wanavyolipuliwa kwa kuandamana miji midogo, I humbly request chadema to see Dar kama kitovu cha ukombozi wa mtanzania,
Mbona umewataja wengi Alwataan!...mmoja tu akiondoka,you know who.I see a disturbing pattern kama inajirudia... Chama Kinasimama kwa misingi ya charisma na personalities badala ya network ya uhakika to grassroot levels. Hivi mathalan leo hii(mungu aupushie mbali) personalities kama Dr W. Slaa, Freeman Mbowe, ZItto, J.J Mnyika na Tundu Lissu wakitoweka, je chama kitaendelea kufunction vizuri???
yaani mbowe akanywe chai kwa pinda kuna haja ya kukupeleka mirembe siyo bure..Walishawahi kwenda sebuleni kwa Pinda kuongelea masuala ya Arusha(huku wakinywa vipapli).Tusubiri baada ya siku 30.
Mbona umewataja wengi Alwataan!...mmoja tu akiondoka,you know who.
<br />I see a disturbing pattern kama inajirudia... Chama Kinasimama kwa misingi ya charisma na personalities badala ya network ya uhakika to grassroot levels. Hivi mathalan leo hii(mungu aepushie mbali) personalities kama Dr W. Slaa, Freeman Mbowe, ZItto, J.J Mnyika na Tundu Lissu wakitoweka, je chama kitaendelea kufunction vizuri???
I see a disturbing pattern kama inajirudia... Chama Kinasimama kwa misingi ya charisma na personalities badala ya network ya uhakika to grassroot levels. Hivi mathalan leo hii(mungu aepushie mbali) personalities kama Dr W. Slaa, Freeman Mbowe, ZItto, J.J Mnyika na Tundu Lissu wakitoweka, je chama kitaendelea kufunction vizuri???