PICHA: CHADEMA 'wauteka' mji wa Arusha

Ebwanahee pinda aliyewekwa pale kama kivuli nadhani anajuta ma hatorudia tena kukubali huo wadhifa
 
Wawafuatilie kwa karibu hao wajamaa isijekuwa kama ya Shibuda!
 
Pinda na wabunge wake wa ndiyoooooo wameumbuka mbayaaaaaaaaaa magamba mko juu tunawangoja kwny marudio ya uchaguziiiiii
 

9. Wananchi walianza kupiga kelele kuwa Mhe Shibuda nae afukuzwe, wakati akiongea Mhe. Mbowe. Mbowe kawaomba asilitolee maelezo hilo kwa kuwa bado liko kwenye vikao vya maamuzi vya chama!

10.Inteligensia hawakuonekana eneo la tukio!

11.Makamanda wameahidi kuhudhuria kikao cha bunge cha j'mosi kutokana na unyeti wake wa kujadili bajeti ya Ngeleja na kisha kuelekeza mashambulizi hukooooo kwa RA kuchukua jimbo!

Ilikuwa nyomi ambayo ni sawa na mikutano minne ya kampeni ya JK mkoa wa Arusha ingawa tofauti na mikutano ya CCM, kwa CDM huwa hamna malori ya kusomba watu kutoka pembezoni mwa mji, hakuna kugawa t-shirts na pia watu hawavutwi na wasanii wa muziki kama Diamond n.k wanaolia njaa huko CCM.

Mungu ibariki Tanzania,
Mungu ibariki CHADEMA!

Nawasilisha!
 
rchuga chadema daima dumu 2tazidi kukamua kama kawa na wale madiwani wanaojifanya wanakibri waende wakajiunge na magamba ndo wauone moto kudaaaadek!
 
Mmmh, where is Pasco and Ngongo!! Wale waliosema CHADEMA wamefanya kosa kubwa kufukuza wale madiwani wapo wapi? Nadhani tumepata ushahidi kwamba Arusha hapendwi mtu ila chama. Watu wameichoka CCM kwa kumaanisha.
Pasco huwa hajiandai kutetea hoja zake anaanzisha then anapotea anaendeshwa zaidi na itikadi.

Ngongo yeye ni ghubu la husuda lililomjaa moyoni juu ya mafanikio ya Lema kisiasa hilo halitamtoka maana Lema ndiyo anapaa hivo.
 
Nasikia leo Magogoni macho na masikio yao yalikuwa arusha wanaweweseka tu sasa, ni sawa na kumpiga mlevi kumbo.
 
Ni JANI
au GOMBA ?
Nenda jukwaa la Lugha kama wewe ni mahiri wa Lugha, hapa leo chupi zinawabana kwisha habari yenu, CHADEMA haivui magamba bali inauwa nyoka. PERIOD.
Sasa nakula jani, nakula gomba, na nakunywa Wisky. we sema nini unataka sasa. mtajibeba mwaka huu.
 
JK akiona hizi picha sijui anajisikiaje. Wananchi walivyokaa mkao wa kukata tamaa ya maisha, kama ana ubinadamu ashtuke ajiulize kuna nini? Huu umati unatisha jamani dah. Jk jiuliza watu wote hawa hawana ajira? Wanapata wapi riski yao wakati serikali inawabana kila pembe.
 
Jamani hii nimeipenda sana
Kumbe watanzania ni waelewa kiasi hiki
CHADEMA mbele kwa mbele mpaka kieleweke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…