PICHA: CHADEMA 'wauteka' mji wa Arusha

Kila la kheri CHADEMA na Mungu atasaidia katika hili na pia kuona jinsi gani wanaweza kuboresha maisha ya Watanzania
 
MKUU THANX KWA HIZO PICTURES ZA MAKAMANDA NA AKSANTENI WAAKAZI WOTE WA ARUSHA KWA KUJITOKEZA..!

Hapa Jamvini binafsi cna la kuongeza zaidi ya kusema THANX kwa wote waliofanikisha mkutano huo wa salamu kwa jamaa wenye kuoga kufanya maamuzi magumu na wenye kuendekeza siasa za majitaka....!
wakuu wote mliochangia hii thread aksanteni sana.

Mwenyenzi mungu atuzididshie hii ari iliyopo na atuepushie UOGA NA HOFU ktk haya mapambano ya kuleta hali bora kwa wananchi wote.

Ni muhimu kuongeza kasi zaidi ya hapa ili wacpate wapi pa kujitetea na waje kuomba kujifunza CDM namna ya kuendesha siasa safi ktk chama chao....!

CDM mkitoka Arusha safari Igunga Tbr, lazima wakaipate fresh huko.... Wana Igunga wanawasubiriniiii.....

Kufika lazima....!
 
oooh poor MAGAMBA! Whats a nice picture and message as well..VIVA CDM
 
Looh! mbona vitoto vya shule vilivyojaa hapo; ambavyo havina hata shahada ya kupigia kura!

Wanafunzi wake walipotaka kuwafukuza watoto wadogo, akawaambia waacheni watoto wadogo
waje kwangu sababu ufalme wa mbinguni ni wao.
Hakusema kawaleteni. nadhani hawa watoto hawakukatishwa masomo (evidence:no school uniforms)
wala hawakupandishwa karandinga kwenda uwanjani.

Waache waende, Maana ukombozi wao umewadia
 
Mbona umewataja wengi Alwataan!...mmoja tu akiondoka,you know who.

Wewe Koleo ni mvendavazimu, unatumia ribusama kufikiri... Kuna kitu kinakuwasha kusikia utawala wa kishakaji unaostawisha genge la misafidi na milafi kama veve uakaribia ukingoni na hauna dawa ya kujiponya. Utapasuka moyo bure kwavile hiyo unayoona ni mvua za rasharasha, za masika bado.
 
Pasco huwa hajiandai kutetea hoja zake anaanzisha then anapotea anaendeshwa zaidi na itikadi.

Ngongo yeye ni ghubu la husuda lililomjaa moyoni juu ya mafanikio ya Lema kisiasa hilo halitamtoka maana Lema ndiyo anapaa hivo.

Huyu Pasco ni mmojawapo wa watu wanaonufaika na ufisadi wa ccm; lakini huwa hajitambulishi moja kwa moja na wao (dhamira inamsumbua na njaa inamsumbua). Of course kuna wakati uzalendo unamshinda anaanza kutetea magamba kwa nguvu zote na baada ya hapo anatoweka..... kwa aibu!
 
hapa ndipo mlipo sema NAPE ahutubie ????? SIJUI nani angemsikilza
 
si ajabu hakuna hata mmoja kwenye hilo genge mwenye kadi ya chadema. Tanzania ni nchi rahisi sana kukusanya umati wa watu. wewe weka stage, washa bongo flava halafu usikilizie.
 
si ajabu hakuna hata mmoja kwenye hilo genge mwenye kadi ya chadema. Tanzania ni nchi rahisi sana kukusanya umati wa watu. wewe weka stage, washa bongo flava halafu usikilizie.

Ingekuwa rahisi kiasi hicho, magamba wasingekuwa wanalazimika kubeba watu kwenye malori, kuwapa khanga, kofia na tshirts, tena kwa kutumia pesa za kuomba omba toka kwa wauza mafuta. Leo hii hizo fadhila zinawatokea puani. Jamaa wanahujumu uchumi wa nchi mchana kweupe na hakuna la kuwafanya!
 
Raha ya kuvua magamba mapema na bila mbwembwe hiyo !!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Wajalibu na wao kama hayatawatokea makalioni
PEEEEEEEEEEEEPLEZ POWER
 
.............Ni ujumbe kwa chama cha magamaba...nadhani sasa wanapaswa wajichubue kabisa,maana kujivua magamba hakuwezi kusaidia kupunguza spidi yetu.....CHADEMA FOREVER.........
 
imekaa kifalsafa zaidi kuliko tamaha ambazo madiwani walizifikiria
 
<br />
<br />
kwel ulikuwa ndo hivyo
 
mleta mada, twasubiri full story kama ulivyoahidi. Chadema Mungu awabariki waendelee kupambana kutetea haki za wengi.

kila siku nikiwasikia hawa watwana wetu, hujifariji kwa kuwaponda chadema eti miaka mitano c mingi. what will happen after five yrs wananchi bado wakaunga mkono VYAMA MBADALA HASA CHADEMA?

MUNGU tuoongoze vijana, tuwe na busara za kuwashawishi hata wazee waliokulia ndani ya CCM, wabadili mwelekeo, wapime tangu waipe ccm kutawala wamefanya nini kuleta maendeleo ya jamii?

ccm wazushi wamechoka, tuwapumzishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…