Hivi Viongozi wa CCM wakiona picha kama hii vichwani mwao wanaona nini?Hakika uwa siamini kuwa kuna kiongozi huwa anaona umati [ukiita kundi ili ni genge au kundi ni makosa huu ni umati].
Poleni CCM endelezeni mbwembwe zenu za kujivua gamba na kuwalea mafisadi wanaopeleka chama chenu kaburini.Mnapaswa kutishwa na mahitaji ya UMATI HUU na sio MAHITAJI YA WATU WASIO ZIDI MIA MOJA NA HAMSINI.ITAKUWA NI AIBU NA KIFO CHA CHAMA CHAO NA HATIMAE KUKUMBANA NA HUKUMU YA UMMA ambayo ni mbaya na ina aibu kubwa sana kwa wahusika,familia na marafiki wao.
Wajifunze kupitia PICHA,kwani WACHINA WANASEMA PICHA UZUNGUMZA MARA ELFU MOJA [A Picture Speaks are thousands words.]
CCM endeleni kuwapuuza wanauamati huuu.