PICHA: CHADEMA 'wauteka' mji wa Arusha

PICHA: CHADEMA 'wauteka' mji wa Arusha

n00b

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2008
Posts
1,013
Reaction score
2,684
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hii leo kimefanya mkutano mkubwa jijini Arusha ambapo kimetoa ufafanuzi juu ya maamuzi yake kuwavua uanachama waliokuwa Madiwani wa chama hicho.

Ikumbukwe kuwa jana Godbless Lema alishatoa CD ya kuonyesha kilichojiri hadi kupelekea madiwani hawa kufukuzwa chamani.

Hii leo chama hicho kimekusanya umati wa wananchi ambapo Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe amehutubia. Tutawaletea taarifa kwa kirefu lakini pata picha hizi kama zilivyowasilishwa na mdau wa JamiiForums:

chadema-leo.jpg

Mbowe akihutubia umati wa wananchi hii leo katika uwanja wa NMC​
photo1.jpg
umati.jpg

Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria mkutano wa CHADEMA hii leo




Kimeongelewa nini, nini kilichojiri nyuma ya pazia? Fuatilia FikraPevu kesho
CHANZO: CHADEMA ‘wauteka' mji wa Arusha! | Fikra Pevu | Kisima cha busara!
 
Last edited by a moderator:
Hakika CHADEMA ni chama cha watu! Peoples, ....big up CHADEMA!
 
Ubarikiwe sana mkuu kwa taarifa hizi na zaidi ya vyote kwa picha. Tumezisubiri sana hizi picha ili kuona jinsi wananchi wa Arusha walivyoitikia wito wa wapiganaji wa kweli.

God bless you wananchi wa Arusha.
 
Hivi Viongozi wa CCM wakiona picha kama hii vichwani mwao wanaona nini?Hakika uwa siamini kuwa kuna kiongozi huwa anaona umati [ukiita ni genge au kundi ni makosa huu ni umati] na anauchukulia kama wahuni kama walivyozoea kuwaita,jamaini itakuwa ni wendawazimu uliopitiliza.

Poleni CCM endelezeni mbwembwe zenu za kujivua gamba na kuwalea mafisadi wanaopeleka chama chenu kaburini.Mnapaswa kutishwa na mahitaji ya UMATI HUU na sio MAHITAJI YA WATU WASIO ZIDI MIA MOJA NA HAMSINI.

ITAKUWA NI AIBU NA KIFO CHA CHAMA CHAO NA HATIMAE KUKUMBANA NA HUKUMU YA UMMA ambayo ni mbaya na ina aibu kubwa sana kwa wahusika, familia na marafiki wao.


Wajifunze kupitia PICHA, kwani WACHINA WANASEMA PICHA UZUNGUMZA MARA ELFU MOJA [A Picture Speaks a thousands words]

CCM endeleni kuwapuuza wanauamati huuu.
 
Viva chadema, zidumu fikra za chadema na walaaniwe magamba.i wish tanzania yote ingekuwa kanda ya kas.saa ya ukombozi
 
Hivi Viongozi wa CCM wakiona picha kama hii vichwani mwao wanaona nini?Hakika uwa siamini kuwa kuna kiongozi huwa anaona umati [ukiita kundi ili ni genge au kundi ni makosa huu ni umati].

Poleni CCM endelezeni mbwembwe zenu za kujivua gamba na kuwalea mafisadi wanaopeleka chama chenu kaburini.Mnapaswa kutishwa na mahitaji ya UMATI HUU na sio MAHITAJI YA WATU WASIO ZIDI MIA MOJA NA HAMSINI.ITAKUWA NI AIBU NA KIFO CHA CHAMA CHAO NA HATIMAE KUKUMBANA NA HUKUMU YA UMMA ambayo ni mbaya na ina aibu kubwa sana kwa wahusika,familia na marafiki wao.

Wajifunze kupitia PICHA,kwani WACHINA WANASEMA PICHA UZUNGUMZA MARA ELFU MOJA [A Picture Speaks are thousands words.]

CCM endeleni kuwapuuza wanauamati huuu.
JK nahisi atazimia na magamba yake
 
Hi,

Many thanks for sending the photos, we have been waiting for the same since the start of the session
 
R Chuga kwao siunajua tena home sweet home matokeo ya hapa yanasemaje wakuu wa kambi ya upinzani..
 
Dah, CHADEMA wana nguvu sana, CCM wakiona hivi wanaleta FFU!..
 
WAKUU KWA KIFUPI WAMEWACHANA WAKINA MKUU WA KAYA NA MTOTO WA MKULIMA

1. imewekwa CD ya yule diwani aliye fukuzwa alipo kuwa akiwasiliana na polisi ili awape hongo polisi wazuie mikutano ya chadema jijini A town.

2. DR KAWACHANA WAZIRI MKUU KWAMBA NI MUONGO SANA NA ANAO WALAKA KAMA KAWAIDA WAKUTOKA KWA IGP KWENDA KWA MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA YOTE WAKIAGIZWA WAWAOMBE PILISI RADHI NA WAWATULIZE POLISI KWA KITENDO CHA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI KUDANGANYA TAIFA KWAMBA POLISI WANALIPWA POSHO YA 150,000 KUMBE UKWELI NI 100000.

3. Dr AMEDAI KUNA BAADHI YA POLISI WAMEANZA KUKAMATWA KWA KUDAI POSHO YA 150,000 KAMA ILIVYO TANGAZWA BUNGENI

4. KAMANDA MBOWE NAYE KAMCHANA PINDA KWAMBA ANAONGOZA KWA KUDANGANYA BUNGE AKITOA MFANO WA LEO ASUBUHI WA MASWALI YA PAPO KWA PAPO

5. KAMANDA AMWESEMA CHADEMA WAMETOA SIKU 30 MGOGORO UMALIZWE LA SIVYO LINAANZISHWA TENA.

6. LEMA AMESEMA ANAENDA BUBGENI KUTAKA MWONGOZO WAKE UTOLEWE NA SPIKA LA SIVYO HAKITAELEWEKA HUKO MJENGONI

7. LEMA AMESEMA HAITAJI KUSIFIWA NA ANA MAKINDA PAMOJA NA NDUGAI KWAN MKE WAKE ANATOSHA KUMSIFIA.

8. LEMA AMEDAI HAITAJI KABISA KUSIFIWA NA WABUNGE WA CCM

HAYO NDO NILIYO NASA
 
Back
Top Bottom