(Picha) CDM ilitumia malori kusomba watu Iringa

Ndo mana mikutano inajaa kumbe wanasombwa na malori na humo kwenye malori ni full kuvuta bangi na kushikanashikana
 
Siamini na sipati picha kama kuna binadamu anaweza kuja na hoja ya kichovu kama hii na kujaribu kushawishi watu waiamini. Unapaswa kujua kuwa Iringa, hususan Nyororo ni kijijini na usafiri wa kawaida ni pamoja na malori na hata matrekta katika baadhi ya maeneo! Hilo la kupanda malorfi lingemuudhi nani? Wale wazee wa magamba walitumia malori hata Dar na halikushangaza, mahali ambapo wangeweza kupata mabasi ya kuchukulia abiria! Jipange upya hoja yako nahisi itakuwa ngumu kueleweka na kupokelewa!
 
katika hali ambayo siku zote ilikuwa mbinu ya kujificha kukusanya watu
atimaye mbinu ya chadema imebainika baada ya kukutwa inapakia watu kweye lori (katika picha)

Kutokana na mtu aliyenidodosa ni kuwa Daudi mwandosi alikuwa anachukua picha kwenye gari la chadema ambalo linapakiza watu kuwaleta kwenye sehmu ya kufungua tawi, hiki kitendo kiliwakasilisha chadema

Sasa hapo guess nini kilifuata
Tazama hii picha kwa umakini kwanini Daudi alikuwa anapiga picha Lori lililobeba watu?
Inakuwa Chadema wanasomba watu kuja kwenye mikutano yao?

Mkuu umejaribu kujenga hoja lakini umefeli...ngoja nikujibu hoja kwa hoja halafu ujitafakari kuwa umetumia asilimia ngapi ya ubongo wako kufikiria na kuja na hiyo tathimini...

Tazama hii picha kwa umakini kwanini Daudi alikuwa anapiga picha Lori lililobeba watu?

Jambo la kwanza, je unatambua ili picha ya gari zima iweze kupigwa mpiga picha inampasa asimamem umbali gani kamera ikiwa kwenye wide view(zoom button ikiwa katika wideview capture)? Ukifanikiwa kupata jibu ya hili swali basi usingejiamni na kuandika hayo maneno niliyoyanukuu.

Kutokana na mtu aliyenidodosa ni kuwa Daudi mwandosi alikuwa anachukua picha kwenye gari la chadema ambalo linapakiza watu kuwaleta kwenye sehmu ya kufungua tawi, hiki kitendo kiliwakasilisha chadema...

Kwanza jina la mwanahabari ni marehemu Daudi Mwangosi halafu hilo gari kwa haraka tu unaweza gundua halimilikiwi na Chadema maana hakuna nembo wala alama yoyote ambayo unaweza kuiona katika picha husika. Magari yote ya Chadema yana nembo ya M4C, na ninajua kwa akili yako unataka kujenga hoja eti kwa kuwa alikuwa anachukua picha za jinsi Chadema wanavyosomba watu kwenda mkutanoni basi kitendo hicho kiliwakasirisha Chadema...kwa nini wasikasirishwe na mwanahabari mwingine(amevaa miwani) mwenye kamera ambaye anaonekana ana kamera mkono wake wa kuume.

....baada ya kukutwa inapakia watu kweye lori.....
Kwa taarifa yako hapo ndio ilikuwa sehemu ambayo Chadema walikuwa wana mpango wa kufungua tawi,haiingii akilini ukisema kuwa hapo hiyo canter yapakia watu...hivyo acha kudanganya watu kwa uelewa wako mdogo.

Siamini na sipati picha kama kuna binadamu anaweza kuja na hoja ya kichovu kama hii na kujaribu kushawishi watu waiamini. Unapaswa kujua kuwa Iringa, hususani Nyororo ni kijijini na usafiri wa kawaida ni pamoja na malori na hata matrekta katika baadhi ya maeneo! Hilo la kupanda malorfi lingemuudhi nani? Jipange upya hoja yako nahisi itakuwa ngumu kueleweka na kupokelewa!
 
Ndo mana mikutano inajaa kumbe wanasombwa na malori na humo kwenye malori ni full kuvuta bangi na kushikanashikana
ushazoea kushikwashika unadhani kila mtu yupo hivyo! toa usengerema wako hapa!
 
katika hali ambayo siku zote ilikuwa mbinu ya kujificha kukusanya watu
atimaye mbinu ya chadema imebainika baadaya kukutwa inapakia watu
kweye lori (katika picha)

Kutokana na mtu aliyenidodosa ni kuwa Daudi mwandosi alikuwa anachukua
picha kwenye gari la chadema ambalo linapakiza watu kuwaleta kwenye sehmu
ya kufungua tawi, hiki kitendo kiliwakasilisha chadema

Sasa hapo guess nini kilifuata

Tazama hii picha kwa umakini kwanini Daudi alikuwa anapiga picha Lori lililobeba watu?

Inakuwa Chadema wanasomba watu kuja kwenye mikutano yao?

Daud%2BMwangosi%2B%2Bkulia%2Benzi%2Bza%2B%2Buhai%2Bwake.JPG

Hii mbinu ilikua ikitumiwa sana na cuf
 
WEWE akili yako ipo kwenye ****. Ma-***** kama haya yatolewe humu JF (JF mtaniwia radhi, najua kuna risk ya ban.)

katika hali ambayo siku zote ilikuwa mbinu ya kujificha kukusanya watu
atimaye mbinu ya chadema imebainika baadaya kukutwa inapakia watu
kweye lori (katika picha)

Kutokana na mtu aliyenidodosa ni kuwa Daudi mwandosi alikuwa anachukua
picha kwenye gari la chadema ambalo linapakiza watu kuwaleta kwenye sehmu
ya kufungua tawi, hiki kitendo kiliwakasilisha chadema

Sasa hapo guess nini kilifuata

Tazama hii picha kwa umakini kwanini Daudi alikuwa anapiga picha Lori lililobeba watu?

Inakuwa Chadema wanasomba watu kuja kwenye mikutano yao?

Daud%2BMwangosi%2B%2Bkulia%2Benzi%2Bza%2B%2Buhai%2Bwake.JPG
 
Tatizo lako mdogo wangu nalijua, ila sijaamini kusoma/kuangalia picha pia huwezi?? hiyo picha huyo askari (Nyuma) alikuwa anawatishia nini? ama ndio alikuwa anamtafuta Marehem Mwangozi? ok inamaana hata speak zipebwe vichwani?

Wapi askari kawatisha mbona mnapenda kulia lia, yaani askari kuwatizama ndio kuwatisha.
 
Na hao wote waliopanda hiyo canter ni watangazaji.

Angalia vizuri kwenye picha utaona kuna polisi nyuma ya canter.
Kwa mujibu wa Zomba na wenzake, polisi huyo pia alikuwa 'anasombwa' kwenda kwenye mkutano wa Chadema ??!!

Zomba, JeyKey, polisi na watetezi wote wa mauaji, damu ya watanzania wasio na hatia mliowauwa kinyama itawafuata ninyi na vizazi vyenu vyote mpaka mwisho wa maisha yenu.

Daud%2BMwangosi%2B%2Bkulia%2Benzi%2Bza%2B%2Buhai%2Bwake.JPG
 
Wapi askari kawatisha mbona mnapenda kulia lia, yaani askari kuwatizama ndio kuwatisha.

Hata Daudi Mwangosi alikuwa na imani kama yako, kwa kuamini kuwa polisi ni watu waadilifu na wenye utu.
Sasa angalia kilichotokea. Mauaji ya kutisha ambayo hayajawahi kutokea katika historia ya Tanzania kwa mwandishi aliyekuwa akifanya kazi yake, kuuawa na polisi kinyama namna hii.
Baada ya tukio hili, nani atawaamini polisi tena ???
Kwa sasa, hata ukimwona polisi kasimama tu, lazima uchukue tahadhari, usije ukauawa kinyama.
Lakini wewe, kwa kuwa siku zote ni mtetezi wa mauaji ya raia wasiokuwa na hatia, utaendelea tu kuwa hivyo.
Angalia picha hii, utamwona polisi nyuma ya canter. Sasa unaweza kuamini kuwa pilisi huyo na wenzake wanaweza kushirikiana mukzingira na kumuua mwandishi asiyekua na hatia??
Hakika, kwa jinsi unavyokumbatia mauaji haya, damu ya mwandishi huyu itakufuata wewe na vizazi vyako vyote mpaka mwisho wa maisha yako.
Rest assured, You will live to tell this...
Daud%2BMwangosi%2B%2Bkulia%2Benzi%2Bza%2B%2Buhai%2Bwake.JPG
 
katika hali ambayo siku zote ilikuwa mbinu ya kujificha kukusanya watu
atimaye mbinu ya chadema imebainika baadaya kukutwa inapakia watu
kweye lori (katika picha)

Kutokana na mtu aliyenidodosa ni kuwa Daudi mwandosi alikuwa anachukua
picha kwenye gari la chadema ambalo linapakiza watu kuwaleta kwenye sehmu
ya kufungua tawi, hiki kitendo kiliwakasilisha chadema

Sasa hapo guess nini kilifuata

Tazama hii picha kwa umakini kwanini Daudi alikuwa anapiga picha Lori lililobeba watu?

Inakuwa Chadema wanasomba watu kuja kwenye mikutano yao?

Daud%2BMwangosi%2B%2Bkulia%2Benzi%2Bza%2B%2Buhai%2Bwake.JPG

'Huyu naye kahesabiwa', by Nextlevel.
 
kigari chenyewe canter akiwezi kubeba watu 50, aaah ndugu yangu acha hizo, na hata hivyo linaonekana na masipika kwahiyo ni gari la matangazo na sio rasmi kwa ajili ya kusomba watu.
 
Ndo mana mikutano inajaa kumbe wanasombwa na malori na humo kwenye malori ni full kuvuta bangi na kushikanashikana

Hapo ndipo polisi wakaona ni kosa kubwa sana kwa watu kubebwa na malori kupelekwa mkutanoni.
Wakatoa amri kuwa 'dawa' ya kukomesha jambo hili ni kumuua mwandishi aliyekuwa anapiga picha malori hayo, ili watu wengine wasihamasike kupanda malori hayo!!

Hapo unasemaje??

Hakika, mtoa maoni wewe uitwaye'sijakoma', hakika bado hujakoma kushabikia mauaji ya watu wasiokuwa na hatia.
Basi kwa hili, kaa ukijua kuwa mtu anayefuata kuuawa anaweza kuwa ni wewe mwenyewe.
 
Wapi askari kawatisha mbona mnapenda kulia lia, yaani askari kuwatizama ndio kuwatisha.
kweli naamini wote tulipewa akiri,ila kuzitumia ni uamzi wako,unaweza kutumia sana au kidogo,ritz wewe akiri yako hujawahi kuitumia hata kidogo,unatumia mapovu tu,ndiyo maana wewe ni kilaza kila kukicha.
 
Hilo kwako ndo lory! Yaani huwezi kutofautisha lory na pick-u! Kwenye hilo lory kwa muono wako utabeba watu wangapi? na Unafikiri hayo maspeaker yangebebwa kichwani au?
 
Back
Top Bottom