(Picha) CDM ilitumia malori kusomba watu Iringa

kwani uoni watu wanagombania kuingia kwenye gari?

Ni gari ya aina gani hiyo??Unaweza kunijibu??Na unajuwa hiyo gari ilikuwa sehemu gani huo wakati??Au ulipost kutokana na picha ilivyo???
 
Mkuu TIQO abu fungua macho yako vizur kwanin hii canter ibebe watu kuwapeleka kwenye mkutano?

Ilikuwa inawapeleka wapi mkuu, yeah sikatai kutetea point yako ila unaweza kusema hiyo canter ilikuwa sehemu gani na ilikuwa inaenda wapi??Kama ndio unaweza ku prove??
 
Mmeua mmeanza gombana wenyewe kwa wenyewe nchimbi na mwema damu ya mtu mbaya sana
 
kwani uoni watu wanagombania kuingia kwenye gari?
Jeykey
Ni jambo la kusikitisha sana kuona mwenzako/mtanzania anauliwa kikatili tena kwa kudhamiria alafu JEYKEY unakuja na kejeri ya namna hii.
Kingine, nakuhakikishia kwa Nguvu za Mungu wa watanzania ufe kabla ya kuuona mwaka ujao. Itakuwa hivyo.
 
Vijijini usafiri huwa ni malori,canter ulitegemea wanakijiji wapande nini kwenda kwenye mkutano?tumia akili
 
katika hali ambayo siku zote ilikuwa mbinu ya kujificha kukusanya watu
atimaye mbinu ya chadema imebainika baadaya kukutwa inapakia watu
kweye lori (katika picha)

Kutokana na mtu aliyenidodosa ni kuwa Daudi mwandosi alikuwa anachukua
picha kwenye gari la chadema ambalo linapakiza watu kuwaleta kwenye sehmu
ya kufungua tawi, hiki kitendo kiliwakasilisha chadema

Sasa hapo guess nini kilifuata

Tazama hii picha kwa umakini kwanini Daudi alikuwa anapiga picha Lori lililobeba watu?

Inakuwa Chadema wanasomba watu kuja kwenye mikutano yao?

Daud%2BMwangosi%2B%2Bkulia%2Benzi%2Bza%2B%2Buhai%2Bwake.JPG

Ukipata kuupotosha ukweli ni lazima ujipange aisee, tuseme ndio chadema walisomba watu kwa malori, sasa hili nalo ni lori?
 
si kweli kwamba wote tuwajinga kama unavyofikiri kwa kutumia macho badala ya akili
 
katika hali ambayo siku zote ilikuwa mbinu ya kujificha kukusanya watu
atimaye mbinu ya chadema imebainika baadaya kukutwa inapakia watu
kweye lori (katika picha)

Kutokana na mtu aliyenidodosa ni kuwa Daudi mwandosi alikuwa anachukua
picha kwenye gari la chadema ambalo linapakiza watu kuwaleta kwenye sehmu
ya kufungua tawi, hiki kitendo kiliwakasilisha chadema

Sasa hapo guess nini kilifuata

Tazama hii picha kwa umakini kwanini Daudi alikuwa anapiga picha Lori lililobeba watu?

Inakuwa Chadema wanasomba watu kuja kwenye mikutano yao?

Daud%2BMwangosi%2B%2Bkulia%2Benzi%2Bza%2B%2Buhai%2Bwake.JPG

mmmh!mbona lori na siyo malori?!
 
inaonyesha uanasiasa wako ni wa shule za msingi enzi za tanu.Mbona inaonyesha hujui kuumba hoja.na pia aliuawa si mwadosi bali ni mwangosi.Kwakuwa huyo unalipeta taarifa ni mwandosi hakuna haja ya kusikitika kwa sababu hajauliwa na polisi.

I like your comment. usiasa wa jinsi hii umewafanya wengi kuiona siasa ni mbaya, uongo na unafiki. nitasinia iliyovamiwa na wahuni lao kuiba, kuua na ...
 
Nyambav!ninge kuwa karibu ninge kuchepua makofi mpaka
ungeona picha za bibi yako!
 
Chama gani sasa hakibebi watu kwenye malori? teh teh teh...siasa ukizifuatilia sana hasa za maji taka na akili nazo zinaenda halijojo
 
Mleta mada naona umekurupuka tu, ungeuliza watu waliokuwepo siku ya tukio na watakwambia tu, tazama vizuri hiyo picha uone ukweli:

*Picha imepigwa karibu na eneo ilipokuwa ofisi ya Chadema iliyokuwa inafunguliwa, huku askari wakiwa wameshafika kutaka kutawanya watu, tena muda mfupi kabla ya mauaji hayajafanyika, ushahidi ni huu:

1/Mandhari ya eneo ni lile lile ambalo ghasia zilitokea(Ukichukua picha zingine na kulinganisha)

2/Gari inaonekana limesimama na watu wakishangilia huku watoto wakidandia kama sehemu ya mchezo.

3/Gari inaonekana imeshiba maspika.

4/Kuna askari anaonekana (kwa mbali nyuma kushoto)

*Zipo picha nyingi na video ambazo zilipigwa eneo husika na zinaonesha hata hichi kipande cha hili tukio, kwa sasa zimeshindwa kuwekwa wazi kwanza kulingana na hali halisi, ila baadaye kila kitu kitakuwa wazi sana.
 
Mkuu TIQO abu fungua macho yako vizur kwanin hii canter ibebe watu kuwapeleka kwenye mkutano?
Usitumie makalio kufikiri Jeykey kama wanavyo tumia wanachama zako wa ccm akina zomba hiyo ni canter ya matangazo ya mkusanyiko wa uzinduzi unataka kuwaaminisha wajinga wenzio canter hii ndo ilikuwa inaondoka lringa kwenda Nyororo?
 
Last edited by a moderator:
kwa hiyo unataka kutuambia kuwa baada ya CDM kukasirika wakaamua kuwatumia wauaji kuua yaani hao wauaji na CDM lao moja

fafanua basi tukuelewe maana umejaa gesi hueleweki
 
Kweli wengine walipewa vichwa ili wafugie nywele!

Back
Top Bottom