Picha: CCM yazidi kutaabika chaguzi ndogo

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Chadema ilivyowazima magamba na wake zao CUF, mkutano huu mabalozi watano na watu zaidi ya 20 walirudisha kadi za magamba...





Baadhi ya mabalozi wakirudisha kadi za magamba na kuchukua za Chadema

Mhe. Lema akizindua tawi jipya baada ya wanachama hao wa awali kuhamia chadema kutoka ccm..
 
Ikimbukwe kwamba hata enzi za kutafuta uhuru wa Afrika ya Kusini Mandela aliitwa Mchochezi hapa Tanzania Nyerere, Karume, kule Kenya Kenyatta wote waliitwa wachochezi SASA MNASHANGAA NINI CCM kuwaita watetea haki na raslimali kuitwa wachochezi.


Makamanda wazidishe mapambano tu, hata enzi za Idd Amin wakati wa vita ya Kagera Idd Amin aliendelea kutangaza kwamba majeshi ya Tanzania yanapigwa vibaya sana, na kwamba wote walioingia katika ardhi ya Uganda hawatarudi kwao salama bali watakuwa chakula cha mamba kwenye mto Nile.
ALUTA CONTINUA
Tafakari!!!!!!!!!!!
 
Yaani ninavyoichukia CCM mpka hata mtu anapotumia rangi uliyotumia huwa nachukia sana...hili lichama acha tulizike kabisa...
 
Jana watu waligoma kwenda makwa wanataka kukaa na diwani wao Lema alipata wakati mgumu sana kuwabembeleza wasambaa kwenda makwao, wakati huo CCM mkutano wao uliokuwa ufanyike Olematejo ulivunjika kwa kukosa watu....

Mkuu tupe tathmini ya ushindi utakuwa ni kwa asilimia ngapi.
 
utakufa wewe utaiacha ccm inadunda daima..kidumu chama cha mapinduzi

Jana siyo leo, hakika nakuapia CCM haitapata hata kata moja Jumapili ijayo!! Nakuapia tena CCM haitapata hata kata moja!! Hii ni Arusha mkuu!!
 
Ccm hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, ccm juuuuuuuuuuuu juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…