Tusio wenyewe ndio kama hao kwenye hii picha mkuu...CCM ni wanyonyaji sana hawana tofauti na wakoloni
Hiyo picha imepigwa wakati watu wakijiandaa kuja kabla hata ya mkutano
Tusio wenyewe ndio kama hao kwenye hii picha mkuu...CCM ni wanyonyaji sana hawana tofauti na wakoloni
Ngogo usiwe muongo,mkutano wa jana ni wa kata tuliuandaa sisi viongozi wa kata 3 za Mlandizi na wala hatukuwaalika Mweyekiti na katibu wa wilaya,si kweli awliingia mitini,unapoandika uandike kitu ulichokuwa na uhakika nacho badala ya kupiga majungu.Kuhusu watu si kweili hawakuwepo,eneo lile watu wanajibanza kwenye vibanda pembezoni mwa uwanja kukwepa jua ,kwani hukupiga picha kwenye vibanda?
Mkuu, nadhani bado inatumika but the difference is, hawa watu wakiisha sombwa mara nyingi hua wamepata usafiri wa muda kuja mjini na wanaendelea na shughuli zao tofauti na kuhudhuria hi mihadhara!
acha kukashifu wanaJF wote, omba samahani na ufute kauli yako.