Picha: CCM yaambulia aibu ya mwaka Mlandizi

ngogo

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
359
54
Katika hali ya kushangaza jana katika mkutano wa CCM wa kutoa taarfa wa utekelezaji wa ilani ya CCM kwa wananchi ulioandaliwa na uongozi wa CCM wilaya ya Kibaha Vijijini uliofanyika viwanja vya stend ya Mzenga ambao wananchi waliususia na kuwalazimu Mwenyekiti wa CCM wilaya hiyo na katibu wake na katibu wao Mwenezi kuingia mitini.
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
 
Attachments

  • Hapa viongozi wa ccm wa wilaya ya Kibaha Vijijini wakiendelea na Mkutano bila ya kuwa na wasikil.JPG
    Hapa viongozi wa ccm wa wilaya ya Kibaha Vijijini wakiendelea na Mkutano bila ya kuwa na wasikil.JPG
    19 KB · Views: 3,368
  • Hapa wanaonekana viongozi wa ccm wakiwa katika eneo la mkutano wao wakijadiliana kama waendelee .JPG
    Hapa wanaonekana viongozi wa ccm wakiwa katika eneo la mkutano wao wakijadiliana kama waendelee .JPG
    13.6 KB · Views: 2,918
  • Hii sasa noma ndivyo wanavyoonekana kusema viongpozi hawa wa ccm Kibaha baada ya kukosa wasikili.JPG
    Hii sasa noma ndivyo wanavyoonekana kusema viongpozi hawa wa ccm Kibaha baada ya kukosa wasikili.JPG
    13.7 KB · Views: 3,019
  • Kama unavyoona pichani uwanja upo tupu na viongozi wa ccm wameamua kusakata rhumba uwanjani hapo.JPG
    Kama unavyoona pichani uwanja upo tupu na viongozi wa ccm wameamua kusakata rhumba uwanjani hapo.JPG
    12.8 KB · Views: 3,054
  • Vioongozi wa ccm wakiwa jukwaani bila ya wasikilizaji baada ya wananchi kususia mkutano wao kati.JPG
    Vioongozi wa ccm wakiwa jukwaani bila ya wasikilizaji baada ya wananchi kususia mkutano wao kati.JPG
    13.2 KB · Views: 2,993
aisee hii ni hali mbaya sana!! tukisema chama hiki kijirekebishe tactically - wanagoma!!
 
Katika hali ya kushangaza jana katika mkutano wa CCM wa kutoa taarfa wa utekelezaji wa ilani ya CCM kwa wananchi ulioandaliwa na uongozi wa CCM wilaya ya Kibaha Vijijini uliofanyika viwanja vya stend ya Mzenga ambao wananchi waliususia na kuwalazimu Mwenyekiti wa CCM wilaya hiyo na katibu wake na katibu wao Mwenezi kuingia mitini.
View attachment 142045View attachment 142046View attachment 142047View attachment 142043View attachment 142044

Jf tunatatizo moja kubwa sana la kushabikia chochote kile kinachopostiwa humu yaani kama vile ni mambumbu,mtoamada anaweza kupiga picha mara tu baada ya mahema kufungwa na kuipost nasi tunashabikia lakini ni vyema tukamuuliza kama kulikuwa na mkutano ni wa ngazi ipi,je ni wa kijiji ? Kata ? Wilaya ? Mkoa ? Ama taifa ? Anaweza kusema kuwa viongozi wa wilaya wameingia mitini kumbe ni mkutano wa kata.Kwani kwa jinsi alivyopost kuwa ulipangwa kufanyikia stend Mzenga huo utakuwa wa ama ngazi ya kijiji maarufu kama tawi ama ngazi ya kata ambapo viongozi wa wilaya hawapashwi kuhudhuria
 
chama mfu sasa hivi hata wakisomba watu bado haikidhi haja zao za kuwa na umati mkubwa
 
Jf tunatatizo moja kubwa sana la kushabikia chochote kile kinachopostiwa humu yaani kama vile ni mambumbu,mtoamada anaweza kupiga picha mara tu baada ya mahema kufungwa na kuipost nasi tunashabikia lakini ni vyema tukamuuliza kama kulikuwa na mkutano ni wa ngazi ipi,je ni wa kijiji ? Kata ? Wilaya ? Mkoa ? Ama taifa ? Anaweza kusema kuwa viongozi wa wilaya wameingia mitini kumbe ni mkutano wa kata.Kwani kwa jinsi alivyopost kuwa ulipangwa kufanyikia stend Mzenga huo utakuwa wa ama ngazi ya kijiji maarufu kama tawi ama ngazi ya kata ambapo viongozi wa wilaya hawapashwi kuhudhuria

una AKILI SANA , SASA UNAWEZA KUTUWEKEA ZILE AMBAZO ZILIPIGWA KATIKATI ya MKUTANO ILI TUMKOMESHE HUYU ALIYETUWEKEA PICHA ZA MAHEMA ?
 
muda wa mkutano ulikuwa bado, wanachama na wakereketwa walikuwa mitaani kufungua matawi ya shina huku wakicheza mdundiko. mleta mada kaonyesha mtazamo hasi.
 
Jf tunatatizo moja kubwa sana la kushabikia chochote kile kinachopostiwa humu yaani kama vile ni mambumbu,mtoamada anaweza kupiga picha mara tu baada ya mahema kufungwa na kuipost nasi tunashabikia lakini ni vyema tukamuuliza kama kulikuwa na mkutano ni wa ngazi ipi,je ni wa kijiji ? Kata ? Wilaya ? Mkoa ? Ama taifa ? Anaweza kusema kuwa viongozi wa wilaya wameingia mitini kumbe ni mkutano wa kata.Kwani kwa jinsi alivyopost kuwa ulipangwa kufanyikia stend Mzenga huo utakuwa wa ama ngazi ya kijiji maarufu kama tawi ama ngazi ya kata ambapo viongozi wa wilaya hawapashwi kuhudhuria
Mkutano huo ulikuwa wa ngazi ya wilaya na ulipangwa kuhutubiwa na mwenyekiti wa wilaya ndugu Hamisi Kanesa, na hilo jina la stend ya mzenga ndiyo kiwanja maarufu kiliopo hapa Mlandizi mjin na madiwani wote wa halmashauri hiyo walihudhuria
 
Jf tunatatizo moja kubwa sana la kushabikia chochote kile kinachopostiwa humu yaani kama vile ni mambumbu,mtoamada anaweza kupiga picha mara tu baada ya mahema kufungwa na kuipost nasi tunashabikia lakini ni vyema tukamuuliza kama kulikuwa na mkutano ni wa ngazi ipi,je ni wa kijiji ? Kata ? Wilaya ? Mkoa ? Ama taifa ? Anaweza kusema kuwa viongozi wa wilaya wameingia mitini kumbe ni mkutano wa kata.Kwani kwa jinsi alivyopost kuwa ulipangwa kufanyikia stend Mzenga huo utakuwa wa ama ngazi ya kijiji maarufu kama tawi ama ngazi ya kata ambapo viongozi wa wilaya hawapashwi kuhudhuria
Ni kweli sasa tunataka utuwekee ulizopiga katikati ya mkutano acha blabla bana.
 
Ngogo usiwe muongo,mkutano wa jana ni wa kata tuliuandaa sisi viongozi wa kata 3 za Mlandizi na wala hatukuwaalika Mweyekiti na katibu wa wilaya,si kweli awliingia mitini,unapoandika uandike kitu ulichokuwa na uhakika nacho badala ya kupiga majungu.Kuhusu watu si kweili hawakuwepo,eneo lile watu wanajibanza kwenye vibanda pembezoni mwa uwanja kukwepa jua ,kwani hukupiga picha kwenye vibanda?
 
okey picha plz za katikati ya mkutano
 
Back
Top Bottom