korea kaskazini
Senior Member
- Feb 26, 2014
- 122
- 26
Cz hawana KTU cha kuwaambia wananchi even if wana alots of day hakuna cha maana walichofanya
Mbinu ya kusomba na malori siku hizi haitumiki?
Ngogo usiwe
muongo,mkutano wa jana ni wa kata tuliuandaa sisi viongozi wa kata 3 za
Mlandizi na wala hatukuwaalika Mweyekiti na katibu wa wilaya,si kweli
awliingia mitini,unapoandika uandike kitu ulichokuwa na uhakika nacho
badala ya kupiga majungu.Kuhusu watu si kweili hawakuwepo,eneo lile watu
wanajibanza kwenye vibanda pembezoni mwa uwanja kukwepa jua ,kwani
hukupiga picha kwenye vibanda?
Acha kupotosha..! Wilaya na kata hawana watu. Mikutano ya hadhara yote hasa hii ya kutoa taarifa ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi,inaandaliwa na matawi,wao wanaalikwa tu km walivyoalikwa hapo. Mkutano mkuu wa ccm wa (w)au kata ni mkutano wa viongozi. Na mikutano hiyo inafanyika mara 2 tu kwa mwaka. Kasome tena katiba ya ccm.Jf tunatatizo moja kubwa sana la kushabikia chochote kile kinachopostiwa humu yaani kama vile ni mambumbu,mtoamada anaweza kupiga picha mara tu baada ya mahema kufungwa na kuipost nasi tunashabikia lakini ni vyema tukamuuliza kama kulikuwa na mkutano ni wa ngazi ipi,je ni wa kijiji ? Kata ? Wilaya ? Mkoa ? Ama taifa ? Anaweza kusema kuwa viongozi wa wilaya wameingia mitini kumbe ni mkutano wa kata.Kwani kwa jinsi alivyopost kuwa ulipangwa kufanyikia stend Mzenga huo utakuwa wa ama ngazi ya kijiji maarufu kama tawi ama ngazi ya kata ambapo viongozi wa wilaya hawapashwi kuhudhuria
Ngogo usiwe muongo,mkutano wa jana ni wa kata tuliuandaa sisi viongozi wa kata 3 za Mlandizi na wala hatukuwaalika Mweyekiti na katibu wa wilaya,si kweli awliingia mitini,unapoandika uandike kitu ulichokuwa na uhakika nacho badala ya kupiga majungu.Kuhusu watu si kweili hawakuwepo,eneo lile watu wanajibanza kwenye vibanda pembezoni mwa uwanja kukwepa jua ,kwani hukupiga picha kwenye vibanda?
Pole sana mkuu. Jee hii kitu hamkuleta nini?Ngogo usiwe muongo,mkutano wa jana ni wa kata tuliuandaa sisi viongozi wa kata 3 za Mlandizi na wala hatukuwaalika Mweyekiti na katibu wa wilaya,si kweli awliingia mitini,unapoandika uandike kitu ulichokuwa na uhakika nacho badala ya kupiga majungu.Kuhusu watu si kweili hawakuwepo,eneo lile watu wanajibanza kwenye vibanda pembezoni mwa uwanja kukwepa jua ,kwani hukupiga picha kwenye vibanda?
acha kukashifu wanaJF wote, omba samahani na ufute kauli yako.Jf tunatatizo moja kubwa sana la kushabikia chochote kile kinachopostiwa humu yaani kama vile ni mambumbu,mtoamada anaweza kupiga picha mara tu baada ya mahema kufungwa na kuipost nasi tunashabikia lakini ni vyema tukamuuliza kama kulikuwa na mkutano ni wa ngazi ipi,je ni wa kijiji ? Kata ? Wilaya ? Mkoa ? Ama taifa ? Anaweza kusema kuwa viongozi wa wilaya wameingia mitini kumbe ni mkutano wa kata.Kwani kwa jinsi alivyopost kuwa ulipangwa kufanyikia stend Mzenga huo utakuwa wa ama ngazi ya kijiji maarufu kama tawi ama ngazi ya kata ambapo viongozi wa wilaya hawapashwi kuhudhuria
katika hali ya kushangaza jana katika mkutano wa ccm wa kutoa taarfa wa utekelezaji wa ilani ya ccm kwa wananchi ulioandaliwa na uongozi wa ccm wilaya ya kibaha vijijini uliofanyika viwanja vya stend ya mzenga ambao wananchi waliususia na kuwalazimu mwenyekiti wa ccm wilaya hiyo na katibu wake na katibu wao mwenezi kuingia mitini.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
na wenyewe ndio hawa hapa.
![]()
Ngogo usiwe muongo,mkutano wa jana ni wa kata tuliuandaa sisi viongozi wa kata 3 za Mlandizi na wala hatukuwaalika Mweyekiti na katibu wa wilaya,si kweli awliingia mitini,unapoandika uandike kitu ulichokuwa na uhakika nacho badala ya kupiga majungu.Kuhusu watu si kweili hawakuwepo,eneo lile watu wanajibanza kwenye vibanda pembezoni mwa uwanja kukwepa jua ,kwani hukupiga picha kwenye vibanda?
Jf tunatatizo moja kubwa sana la kushabikia chochote kile kinachopostiwa humu yaani kama vile ni mambumbu,mtoamada anaweza kupiga picha mara tu baada ya mahema kufungwa na kuipost nasi tunashabikia lakini ni vyema tukamuuliza kama kulikuwa na mkutano ni wa ngazi ipi,je ni wa kijiji ? Kata ? Wilaya ? Mkoa ? Ama taifa ? Anaweza kusema kuwa viongozi wa wilaya wameingia mitini kumbe ni mkutano wa kata.Kwani kwa jinsi alivyopost kuwa ulipangwa kufanyikia stend Mzenga huo utakuwa wa ama ngazi ya kijiji maarufu kama tawi ama ngazi ya kata ambapo viongozi wa wilaya hawapashwi kuhudhuria