Picha BORA kabisa ya Mwaka

Picha BORA kabisa ya Mwaka

A picture that speak louder than words

Wakati ukifika ambapo ukombozi kamili wa Taifa hili ukikamilika picha kama hizi zitapamba Makumbusho ya taifa na zitaishi vizazi kwa vizazi kutambua mchango mkubwa wa watu walio weka rehani maisha yao kwa sababu ya kupigani haki na misingi yake

NO REFORM NO ELECTION
Huyu jamaa Ana wito mgumu sana juu ya nchi yake.

Lissu ni raia mzalendo namba moja wa nchi hii
 
A picture that speak louder than words

Wakati ukifika ambapo ukombozi kamili wa Taifa hili ukikamilika picha kama hizi zitapamba Makumbusho ya taifa na zitaishi vizazi kwa vizazi kutambua mchango mkubwa wa watu walio weka rehani maisha yao kwa sababu ya kupigani haki na misingi yake

NO REFORM NO ELECTION
Screenshot_20250515-014418_1.jpg
 
Inavyoelekea hakutakuwa na reform,...

Kuna Mijitu ina unasaba na mbowe ishaingia Chaumma.

Hii mijitu ninavyoiona, piga ua galagaza inaonekana Wazi wazi itaingia kwenye Uchaguzi..Mungu saidia.!

Sasa Mkisusa ni sawa, Lkn inakuwa ni nyie tu ndo mmesusa.!

Sa itakuwaje, hatwendi kwenye Uchaguzi kweli.?
 
Du hiyo mijitu iliyomzunguka ipo kama mijambazi inatisha
 
Naona sasa kuingia mtandao wa X lazima utumie VPN kama mtandao wa Telegram
 
A picture that speak louder than words

Wakati ukifika ambapo ukombozi kamili wa Taifa hili ukikamilika picha kama hizi zitapamba Makumbusho ya taifa na zitaishi vizazi kwa vizazi kutambua mchango mkubwa wa watu walio weka rehani maisha yao kwa sababu ya kupigani haki na misingi yake

NO REFORM NO ELECTION
Sasa mbona hao manjagu wamenzigira hivyo. Wanadhani atawatoroka?
 
A picture that speak louder than words

Wakati ukifika ambapo ukombozi kamili wa Taifa hili ukikamilika picha kama hizi zitapamba Makumbusho ya taifa na zitaishi vizazi kwa vizazi kutambua mchango mkubwa wa watu walio weka rehani maisha yao kwa sababu ya kupigani haki na misingi yake

NO REFORM NO ELECTION
Tatizo picha imepigwa mahakamani kwahiyo yupo mguu nje mguu ndani.

Picha hii angekuwa yupo nje ingekuwa picha Bora Zaidi barani Africa au ya pili baada ya Trump.

Kinyago nikochonge mwenyewe alafu kinitishe.
 
Back
Top Bottom