Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,490
Sawa kiongozi..Utampata tu siku ikifika,tena pengine atakua kakuletea na "mgeni", ila saivi yupo mikono salama, be rest assured Sakayo[emoji2957]
Kwa utekelezaji!
Sawa kiongozi..Utampata tu siku ikifika,tena pengine atakua kakuletea na "mgeni", ila saivi yupo mikono salama, be rest assured Sakayo[emoji2957]
Karibu tena kiongozi wanguSawa kiongozi..
Kwa utekelezaji!
😀😀😀😀Zero IQ una taarifa zozote za huyu binti?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Karibu tena kiongozi wangu
Inawezekana alikwenda kununua chips bado anazisubiri😀😀😀😀
Dah
Usije ukakuta ameshaolewa maana vijana nao si wa mchezomchezoHabari za leo ndugu zangu,
Picha ya huyo mtoto hapo chini anaitwa Makrina Lukas au Chanch kwa jina lililozoeleka.
Mtoto huyu yupo form four Shule ya Sekondari Magugu, Wilaya ya Babati, Mkoa wa Manyara.
Mtoto huyu amepotea tarehe 04/02/2020, alitoka nyumbani saa moja na nusu asubuhi[emoji116].
Piga namba hizi: 0787316877 Baba yake (Lukas Doga) au 0754483431 (Venance Doga)
RB number: Magugu/190/2020
Kama hana matatizo ya akili wasijali kuna siku atarudi tuu.. Yupo mahala salama anakula vinono, kuliko hao wazazi aliwaacha home.