FALSE Picha: Benjamin Netanyahu kwisha habari yake!

The statement is entirely incorrect
Sasa kwa akili yako ndogo tu unadhani kiongozi mkubwa wa nchi yoyote yenye nyuklia anaweza kuuliwa kwenye vita bila kuona majivu yenye radiation...hizi ni ndoto za mchana hebu achana nazo..
 
Huyo ni mshia wa Mtoni kwa Aziz Ali katika ubora wake na kuna kipindi pia walizusha kwamba Trump alikuwa amekufa na pia wakaleta nyingine kutoka masjid ubwabwa kwamba aliyesafiri kwenda Alaska kuonana na Trump hakuwa Putin eti ilikuwa ni Putin's Ghost.🀣🀣🀣🀣
 
Sasa kwa akili yako ndogo tu unadhani kiongozi mkubwa wa nchi yoyote yenye nyuklia anaweza kuuliwa kwenye vita bila kuona majivu yenye radiation...hizi ni ndoto za mchana hebu achana nazo..
Unafikir wairan wana akili za kishoga kama za ukoo wako?
 
Weka ushahidi hapa kuwa ni lin nimewahi kusema hivyo
Pia pole sana aisee kwanza umekula?
 
Eti
Eti alikua anatumia app na blah blah kibao hizo zote ni blah blah zako tu kwanza ulikuwepo? Hebu hata kasome comments za wamarekani huko kwenye hiyo post halafu ndo uje urudi kutetea ushuzi wako hapa kizuka
Kwamba una akili kuliko wamarekani wote na wazungu wewe goyim?
 
 
Mkuu lugha Inakusumbua achana nayo usisambaze habari za uongo
 
Halaf wayahudi wa jf wanasema ni mteule
Na wewe Mu_iran wa Tanzania unasemaje? Ndio Yesu ni mteule kwa mujibu wa Ukristo

Dini zinataka kuvumiliana mkuu katika nchi kama zetu.

Unajua katika hali ya kawaida kukukubali kitabu ambacho kimekuja MIAKA MIA SITA baada ya Yesu kufa, TENA KIKIKUSANYWA KWA NYAKATI TOFAUTI NA WATU TOFAUTI, halafu kina hadithi za kitabu kile kile cha Wayahudi na habari za Yeshua akiitwa Issa linakuwa suala gumu na haliwezi kuwa na hitimisho.

Tuvumiliane mkuu, ni kama Wasukuma na stori ya Mwanamalundi, miaka yote imepita aje mtu aanze kusema Mwanamalundi alikuwa mzungu πŸ™‚

Yani kama tu nyie Waarabu na Wahindi sisi Wabantu weusi tunavyowavumilia kuwa na nyie ni Watanzania, ndani kabisa katika damu zetu tunatamani kama ingewezekana muende tu huko kwenu UARABUNI Iran, Yemen n.k kama Wazungu walivyoondoka.

KUHUSU AYATOLLAH NA NETENYAHU KUFA NA KUUANA SIDHANI KWA SISI WATU WEUSI KAMA NI ISSUE SAANAA.
Tatizo kwa kuwa wewe una damu yao, chotara sijui na una share nao imani unafikiri na sisi tunapata hiyo feelings.
Netenyahu akifa siwezi kusikitika kama nilivyoona picha za waandamanaji au mwili wa yule mfanya biashara Arusha, au mzee Kibao.

Hata Ayatollah alivyokufa sikuwa sana. Itapendeza kama vita zingekuwa zinaenda hivyo, Yani jamaa kama Wamempata Netenyahu, nao Israel waweke PM mpya sijui XXX Netenyahu halafu nae ahakikishe anamuua Mojtaba, nao wachague mwingine akamuue huyo Netenyahu mpya.
 
Punguza mihemko mkuu.

Siku hizi umekuwa kama kichaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…