FALSE Picha: Benjamin Netanyahu kwisha habari yake!

The statement is entirely incorrect
Kuna habari zingine hata sio za kufanya mizaha. Hekima ni bora kuliko Ujuaji 😏
 
Anawachora tuu,jana hiyo bandarini Ashdod
 

Attachments

  • 1773160914841.jpg
    68.1 KB · Views: 21
  • 1773160912052.jpg
    54.9 KB · Views: 27
  • 1773160909377.jpg
    84.6 KB · Views: 22
Wafuga Midevu na Majini mna matatizo makubwa sana hasa kipindi hiki cha Mfungo maana mnapopata Njaa tu mnaanza kubwabwaja uongo na kuanza kuua maadui zenu kwa Hisia na maneno.

Benjamin Netanyahu atawatesa sana mbwa nyie!!!
 
Video iliyochapishwa na serikali ya Israel na page ya waziri mkuu mwenyewe wa Israel imezua gumzo

Video yenyewe ni AI na inamuonyesha netanyahu ana vidole 6? very interesting!!!

NEW:

[emoji1134] The latest video released by the government itself shows that it was AI generated because Netanyahu has 6 fingers.

The question now is whether Netanyahu is just hiding, has been killed, or is seriously injured.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…