Picha: Baadhi ya vituo vya metro nchini Misri shindwa hata kutatua , na Morocco.

ITR

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
4,452
11,368
Kumbe sisi kipindi tunashindwa hata kutatua hata suala la umeme na maji baada miaka 65 ya uhuru kumbe kuna nchi ziko ndani ya bara Africa zina miundo mbinu ya aina hii? Japo nilikuwa najua kuwa nchi za Africa kaskazini wana maendeleo kwa kiasi fulani kutuzidi lakini sikuwahi kufikiria iwapo wametupiga gepu kubwa kiasi hichi.
Kiufupi viongozi wa nchi zilizoko kusini mwa jangwa la sahara zikiongozwa na Tz wanatakiwa kujitathimini waache siasa za kipumbavu na ufisadi waletee raia wao maendeleo.

Morocco
Casablanca-tram.jpg
casatramway-1.jpg
tramway.jpg.pagespeed.ce_.6NBMjHTLGj-e1474888484232.jpg
Tramway_Horaire.jpg
000223844_896x598_c.jpg
000350015_896x598_c.jpg
 
Nijuavyo nchi nyingi za watu weusi hatuna uwezo wa kujisimamia.
Ripoti ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa serikali kila mwaka inaonyesha mianya ya wizi na walioiba wanatajwa lakini hakuna hatua za maana zinazochukuliwa.
 
Back
Top Bottom