Picha: Askari Msijisahau Sana

Picha: Askari Msijisahau Sana

Utafikiri kageuzwa
acha kutumia lugha chafu. Huyu anakaribia kustaafuu, mwili wake una shkrani na mke wake ni mpishi mzuri na anamruhusu mume wake kula mahali popote pindi akihisi njaa.
 
acha kutumia lugha chafu. Huyu anakaribia kustaafuu, mwili wake una shkrani na mke wake ni mpishi mzuri na anamruhusu mume wake kula mahali popote pindi akihisi njaa.
Naamini hukuelewa nilichomaanisha...lakini ni vema nikaomba radhi
 
Huu ni muda kwa rais magufuli kuzuia utoaji wa promotion au kuwapandisha vyeo wanajeshi na wanausalama wote wenye vitambi,yaan wanatia aibu
 
Labda yeye ndio anakazi ya kuonja maharage ya wafungwa kama yamekolea nazi na chumvi.
 
image_1.jpeg
Eti hawa ndio askari wetu hivi huyu anaweza kupiga kwata kweli?
 
Back
Top Bottom