tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,307
- 4,585
Hahahahaaa. Hiyo posture ngumu mkuu. Hata kuhema taabu. Sidhani kama kapenda kukaa hivyo...Halafu huyu ni lazima atakua amekivimbisha makusudi.
Hatari kubwa
Duh..hapo akifunga kamba za viatu si anajamba..
Kamoooni
"Hili tumbo akiwa anaingia chumbani, unakuta tumbo liko ndani ndo mwili unakuja nyuma"
Utafikiri kageuzwa